Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Kwa sababu tu hauamini uchawi ndio maana huwezi kufikiria kuwa pengine uchawi wawezakuwa unahusika katika hilo tukio, ila kama nilivyosema kwamba uchawi sio kitu ambacho hutumia kukitaja tusipoelewa jambo bali uchawi ni kitu ambacho tunadili nacho.But u can't prove ipo...it's just an easy answer...mtu unajiskia raha kusema ni uchawi au miujiza coz it is more appealing. Lakini unaona uvivu kufikiria the real reason..ndo maana wenzetu wameendelea