Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Hakuna ujinga wowote hapo hiyo ni real story nimeshare tu.
Tatizo nyie vitoto mmezaliwa mwaka 2015+
Hamuwezi kuelewa hayo mambo.
Mkishashika vismartphone vyenu basi mnaona ndo mwisho wa dunia.
Mnaishia kutingisha vitako vyenu vichafu hivyo.
😂😂😂😂So Kuna mwaka wa kuona uchawi...Kama upo utaje...mbona Kuna watoto wa miaka 6 wanastory za uchawi Kama jitu zima wewe, au kisa wapo Kijiji chenu... hebu tutokee hapa
 
Uchawi wa sasa hamna kitu mnadanganywa tu.
Enzi hizo mtu akikunyooshea kidole kesho watu wanazika.
 
Ukiongea hivyo Watakuambia cjui we bado mdogo cjui nenda Kijiji fulani sijui tulia uyakute...[emoji23] visingizio kibao
Ndo yaleyale kwamba hachelewi wala hakawii mara hahakupi unachotaka, mara omba chochote kwa jina lake utapewa mara jehanamu mara mbinguni mara mimi ni roho yaaani mambo ni mengi na yote ni picha la kuchora tu vichwani mwao .... yaani niwapuuzi sana hawa watu.
 
Hata kama huamini kama Mungu yupo ila usimkufuru. Wakati mwingine unajipalia makaa hapa duniani na motoni. Acheni kumkufuru Mungu.
 
Motoni ndo wapi na kumkufuru ndo kufanyaje? Wewe umemwona nani kashika kuni hapa? Tueleweshe msipende kukaa na elimu nzuri peke yenu
 
Hivi vitabu vimeandikwa na wapuuzi ambao hawakujua dunia inazunguka jua. Ukiishi kwa akili za Hawa watu utaishia kuamini vitu ambavyo havipo ndo maana tunaenda shule. Ingekuwa Quran ni elimu tungeisoma mashuleni kwa lazima Kama sayansi

Shule imekupa majibu ya mambo yote? Sayansi imekupa majibu ya mambo yote? Shule imetoa “wapuuzi” wengi zaidi na hiyo inatosha kueleza kwamba shule ni sehemu ndogo sana ya maarifa tunayohitaji. Don’t be conservative! Be willing and open to learn in order to understand how faith works.
 
Motoni ndo wapi na kumkufuru ndo kufanyaje? Wewe umemwona nani kashika kuni hapa? Tueleweshe msipende kukaa na elimu nzuri peke yenu
Dada yangu kuna kitu kimoja ambacho wote tunaamini. Kuna nguvu kuu kutuzodi iliyotuumba na kuumba huu ukimwengu. Kwetu tuliofanikiwa kumjua tunamuita YHWH. Kwa vyoyote hata kama humjui tunashauriwa kutokukufuru kwa kukataa uwepo wake. Hatukujiumba kama tulivyo wala hatusababishi unywele hata mmoja kukua kwenye vichwa vyetu. Tuiheshimu hiyi mamlaka iliyotufanya hivi tulivyo.
 
Ndo yaleyale kwamba hachelewi wala hakawii mara hahakupi unachotaka, mara omba chochote kwa jina lake utapewa mara jehanamu mara mbinguni mara mimi ni roho yaaani mambo ni mengi na yote ni picha la kuchora tu vichwani mwao .... yaani niwapuuzi sana hawa watu.
😂😂 Visingizio kibao.
Anyways ndo jamii yetu
 
Shule imekupa majibu ya mambo yote? Sayansi imekupa majibu ya mambo yote? Shule imetoa “wapuuzi” wengi zaidi na hiyo inatosha kueleza kwamba shule ni sehemu ndogo sana ya maarifa tunayohitaji. Don’t be conservative! Be willing and open to learn in order to understand how faith works.
😂 Faith is believing in fairytales ndo maana Kuna dini 1000 na madhehebu zaidi ya laki. Anyone can make stories and tell u to believe on faith. 😂Sayansi kazi yake sio kuwa na majibu kazi yake ni kufanya lyf iwe simple na how it gets there ni through uelewa na utafiti sio kukubali Babu aliyosema. I'm open minded ndo maana siumii nikiona bible au quran Zina uwongo
 
Dada yangu kuna kitu kimoja ambacho wote tunaamini. Kuna nguvu kuu kutuzodi iliyotuumba na kuumba huu ukimwengu. Kwetu tuliofanikiwa kumjua tunamuita YHWH. Kwa vyoyote hata kama humjui tunashauriwa kutokukufuru kwa kukataa uwepo wake. Hatukujiumba kama tulivyo wala hatusababishi unywele hata mmoja kukua kwenye vichwa vyetu. Tuiheshimu hiyi mamlaka iliyotufanya hivi tulivyo.
😂😂😂😂😂Yahweh si Mungu wa wayahudi...mbona humjui Mungu wa kijijini kwako...yaani Mungu katungwa na jamii moja ndo wa dunia..why not Allah..Zeus, Vishnu, Odin etc why Yahweh... unavyosema hujajiumba kwani huna baba au mama...au ulitengenezwa na udongo...😂 ulimwengu kuumbwa uliuona..even if umeumbwa kakuambia umuabudu au utishie watu moto...mbona mnajikosha
 
Dada yangu kuna kitu kimoja ambacho wote tunaamini. Kuna nguvu kuu kutuzodi iliyotuumba na kuumba huu ukimwengu. Kwetu tuliofanikiwa kumjua tunamuita YHWH. Kwa vyoyote hata kama humjui tunashauriwa kutokukufuru kwa kukataa uwepo wake. Hatukujiumba kama tulivyo wala hatusababishi unywele hata mmoja kukua kwenye vichwa vyetu. Tuiheshimu hiyi mamlaka iliyotufanya hivi tulivyo.
Wote na akina nani mnaamini? Na katuumba lini na nini? Kwann kuna wengine hawamjui huyo alietuumba? Mnashauriwa na nani kutokukufuru? Then YHWH ni kwanamna gani wewe unajua kuwa umeumbwa na YHWH?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yahweh si Mungu wa wayahudi...mbona humjui Mungu wa kijijini kwako...yaani Mungu katungwa na jamii moja ndo wa dunia..why not Allah..Zeus, Vishnu, Odin etc why Yahweh... unavyosema hujajiumba kwani huna baba au mama...au ulitengenezwa na udongo...[emoji23] ulimwengu kuumbwa uliuona..even if umeumbwa kakuambia umuabudu au utishie watu moto...mbona mnajikosha
Yani mbaya zaidi na vitisho juu yaani waliwamaliza mababu zetu na mabuduki na kuwatumikisha kama punda, wakaona haitoshi wakaleta vitishio vya moto mara jehanam.
 
Wote na akina nani mnaamini? Na katuumba lini na nini? Kwann kuna wengine hawamjui huyo alietuumba? Mnashauriwa na nani kutokukufuru? Then YHWH ni kwanamna gani wewe unajua kuwa umeumbwa na YHWH?
We kama sio illuminant basi unatumia nguvu za kiruminant ambazo zimekupofusha macho yako usitambue uwepo wa Mungu licha ya uwepo wa supernatural creatures.
Sasa inaonesha umepotea zaidi maana hata washilikina wanaamini kuna nguvu zaidi yao itokayo kwa Mungu.
Sio lazima leo uamini ila nakuombea siku ukipata mwanga wa kuona nuru ya uwepo wa Mungu basi mgeukie Mungu haraka isije ikafika siku ya kiama bado hujatubu dhambi zako.
 
Back
Top Bottom