Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Mganga kufa mbele ya Macho yangu nikiwa kijana Mdogo, Ndugu wa karibu kaugua Ghafla, kulikua Na Aunty mtu mzima na mm kijana mdogo enzi hizo, Aunty akasema kwa vile kuna Mganga jirani, nisaidie kumpeleka Mgonjwa.

Mimi huku, Aunty huku mpaka kwa Mganga, kufika kwa Mganga Mgonjwa kapandisha Mashetani, Mashetani yanamchimba Mkwara Mganga, Mganga nae kapandisha Mizimu ya kwao, Mganga kafura kwa hasira kama anataka kupasuka, kamsogelea Mgonjwa, akagusanisha kichwa chake na cha Mgonjwa huku akisema maneno anayoyajua mwenyewe...!

Ni sekunde kadhaa tu, naona Mganga anaishiwa Nguvu, anaanguka Chini, Damu zinamtoka Puani na Masikioni..,...!

Nilikua mdogo lakini tukio lile haliwezi kutoka kichwani.
 
Mabati yana kawaida ya kujikunja na kujikunjua kutokana na hali ya hewa joto au baridi... Ni kawaida kusikia sauti.

Then milango yetu hii ya kuunga unga hasa mageti vitasa vyake kujifunga ni kawaida sana ukibamiza...

Tena kama we ulitoka kasi ukauacha ujipige.. hakuna uchawi hapo.

Tufanye kazi
Dahh..usiombe yakukute...seeing is believing!
 
Mganga kufa mbele ya Macho yangu nikiwa kijana Mdogo, Ndugu wa karibu kaugua Ghafla, kulikua Na Aunty mtu mzima na mm kijana mdogo enzi hizo, Aunty akasema kwa vile kuna Mganga jirani, nisaidie kumpeleka Mgonjwa.

Mimi huku, Aunty huku mpaka kwa Mganga, kufika kwa Mganga Mgonjwa kapandisha Mashetani, Mashetani yanamchimba Mkwara Mganga, Mganga nae kapandisha Mizimu ya kwao, Mganga kafura kwa hasira kama anataka kupasuka, kamsogelea Mgonjwa, akagusanisha kichwa chake na cha Mgonjwa huku akisema maneno anayoyajua mwenyewe...!

Ni sekunde kadhaa tu, naona Mganga anaishiwa Nguvu, anaanguka Chini, Damu zinamtoka Puani na Masikioni..,...!

Nilikua mdogo lakini tukio lile haliwezi kutoka kichwani.
Nmeisoma story yako kama movie vile inavyovutia, kuzidiana uwezo ni sababu ya mganga kufa
 
Uchawi upo ndugu zangu.

Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.

Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.

Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani inasikitisha watu wameangaika sana kumtibu lakini wapi ukumuona utamuonea huruma.
BIBLIA imeandikwa USIMUACHE MWANAMKE MCHAWI AKAISHI 😀😀😀
 
Duuh watu niwaongo balaaaa ika basi tu wajinga wafe na ujinga wao tu
Hakuna uongo hayo mambo yapo.
Huko mbeya watu kuuwawa kwa ulozi ilikua kawaida tu.
Siku mlozi akamuua kaka wa kibopa mmoja,
Tuko hapo jirani.
Mdogo mtu akasema haiwezekani kaja na mganga pale mtaani.
Zikapigwa ndumba mpk mlozi kalowana.
Hii remote unaijua leo enzi hizo ilikua km pembe fulani hivi.
Ikanyooshwa hiyo twende huku mlozi anafata ,ikigeuza kulia anafata,kushoto anaenda
Km GPS vile
Kufika mahali pameandaliwa
wanakijiji wote walikuwepo.
Pembe ikawekwa chini nayeye kakaa.
Jamaa kakalishwa kitako
Maswali yakaanza uliua nani na nani?
Jamaa alitaja wote pale mbele za watu.
Anapelekewa pembe huyu anaona picha anasema ndiyo nilimmaliza sehemu fulani,
Na huyu ndiyo,
Huyu mtoto ndiyo,na huyu ndiyo.
Kiperenge kikafata njia.
Umewaweka wapi
Mzee mlozi twendeni msiniuwe.
Ndo hao mpk pale kwake Tena.
Kuta misukule kibao
Na kuna msufuria unapikwa nyama za watu,
Yule kichaa ndo kazi yake hiyo(mwanae wa kwanza)
Pale yule mzee mlozi nae alikua don sana enzi za mjerumani.
Alikua na milori hii jeifongo mingi tu.
Ila akafirisika.
Mle ndani jumba lake lilikuwa km garage la mjerumani.
Hakuna engine utakosa mle.
Sasa kufika home.
Mwanae mkubwa alikua chizi.
Anayefuata Malaya.
Mwingine jambazi.
Wawili waliobaki
Yaani hawaeleweki.
Walikua umri wangu.
So always tuko pamoja hasa haka ka kike.
Sasa siku ya balaa kufika kwa Yule kaka mtu kichaa.
Kweli sufuria tulilikuta la nyama za watu hasa watoto.
Ile harufu ulikua ukipita pale nje unaisikia.
Sasa pale Mbeya enzi hizo mganga alimaliza kazi yake
Anaondoka kurudi Sumbawanga.
Wale ndugu waliofiwa waliondoka na yule mzee mlozi.
Watoto tulizuiliwa,
Hakurudi tena.
Ndo pale nikajua uchawi upo na waganga wapo.
Ule mtaa sikuwahi kupita tena tokea pale.
Huyu kichaa alikufa
Dada yake aliwehuka akafa baadae
Jambazi aliuliwa.
Hawa wawili sikumbuki waliishi maisha gani maana sikuwa karibu nao tena.
Uchawi upo
Waganga wapo.

Nahitimisha.
 
Katoe movie utawauzia wajinga wenzio,, ila kama unawatoto au unatarajia kuwa na watoto please tunahitaji kutengeneza tanzania inayojielewa wewe kufa na ujinga wako ila hakikisha watoto wako hawarithi huu upuuzi ,,,,,
 
Hakuna ujinga wowote hapo hiyo ni real story nimeshare tu.
Tatizo nyie vitoto mmezaliwa mwaka 2015+
Hamuwezi kuelewa hayo mambo.
Mkishashika vismartphone vyenu basi mnaona ndo mwisho wa dunia.
Mnaishia kutingisha vitako vyenu vichafu hivyo.
 
Tatzo la watz wengi hasa hawa wazamani waliozaliwa 1920 niwashika simulizi imagine leo unamiaka karbia 50,60,70 bado unasimuliaga stori ulizoambiwa na baba ako au na rafiki yako hauna hata moja ambayo unaweza kithibitisha kwa uma .....mmegoma kabisa kubadilika nawakat ndio nyie mliokubali kupokea huu upuuzi wa wazungu unaoitwa dini ambao unazidi kutumalza kabisa yani hamjilaumu hata kidogo mbadala wake wamekaa kusema vitoto vitoto vitotoo ,,,, huruma mnoo
 
Mimi Kila nikiona binadamu mwenye akili zake timamu bila kushurutishwa akiamini kuwa Hamna Mungu

Naamini kweli uchawi upo
Yaani wewe unataka watu waamini tu kuna mungu au unataka waamini kuna mungu unaemwamini wewe? Elezea vizuri hapa, maana kuna majitu mengine yanaweza kukuambia yehova ndio mungu wengine wanaweza kukuambia allah ndio mungu wengine wanaweza kukuambia shinto ndio mungu wengine budha ndio ukweli, wengine yesu ndio mungu, sasa unataka watu waamini tu katika mungu au waamini katika mungu yupi ndio ujue kuwa uchawi haupo baada ya kujiunga nawewe.?
 
Tatzo la watz wengi hasa hawa wazamani waliozaliwa 1920 niwashika simulizi imagine leo unamiaka karbia 50,60,70 bado unasimuliaga stori ulizoambiwa na baba ako au na rafiki yako hauna hata moja ambayo unaweza kithibitisha kwa uma .....mmegoma kabisa kubadilika nawakat ndio nyie mliokubali kupokea huu upuuzi wa wazungu unaoitwa dini ambao unazidi kutumalza kabisa yani hamjilaumu hata kidogo mbadala wake wamekaa kusema vitoto vitoto vitotoo ,,,, huruma mnoo
Tatzo la watz wengi hasa hawa wazamani waliozaliwa 1920 niwashika simulizi imagine leo unamiaka karbia 50,60,70 bado unasimuliaga stori ulizoambiwa na baba ako au na rafiki yako hauna hata moja ambayo unaweza kithibitisha kwa uma .....mmegoma kabisa kubadilika nawakat ndio nyie mliokubali kupokea huu upuuzi wa wazungu unaoitwa dini ambao unazidi kutumalza kabisa yani hamjilaumu hata kidogo mbadala wake wamekaa kusema vitoto vitoto vitotoo ,,,, huruma mnoo
Huruma ya nini,
We unabishana na baba zako?
Upuuzi gani wa udini?
We sio mdini?
Embu kaa utulie unywe Savannah ulelewe na huruma zako
 
Una kinga kubwa kiroho aisee huyo hakuwa mtu bali roho baya lililotumwa kukuziba njia ili ugongwe na gari ufe malengo ya mbaya wako yatimie afurahi kuwa kakuweza
Nina maswali mengi sana kuhusu habari za roho lakini basi tu.
 
Katoe movie utawauzia wajinga wenzio,, ila kama unawatoto au unatarajia kuwa na watoto please tunahitaji kutengeneza tanzania inayojielewa wewe kufa na ujinga wako ila hakikisha watoto wako hawarithi huu upuuzi ,,,,,
Ukiongea hivyo Watakuambia cjui we bado mdogo cjui nenda Kijiji fulani sijui tulia uyakute...😂 visingizio kibao
 
Back
Top Bottom