Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Akili imetulia ntarud hapa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kukwepa kwepa,, Ndio shida yenu habari ya corona ni mada nyingine ,na kwenye mada hiyo ntakua pamoja na wewe...unakimbilia kwenye corona na mada ni kuhusu uchawi [emoji23][emoji23]Story, na yeye anajua wabongo wajinga ndo maana aliombea corona iondoke ili kusiwe na lockdown na wajinga mkaamini hamna corona kumbe watu wanakufa
Anasema kwamba ni uchawi au anasema jamii hiyo inahusisha uchawi? Unavyotoa example hio ni sawa na kusema anaamini zumaridi kaenda mbinguni eti kisa kaminterviewtDC DCaarifa yenyewe hatujakueleza bado wewe tayari ushaanza utetezi wa kindezi
Taarifa yenyewe bado hatujakwambia ni ipi na ilikuaje tayari ushaanza kutoa utetezi wako, Hujioni kuwa una shida mahali kwenye kichwa chako chief ? Au nyinyiAnasema kwamba ni uchawi au anasema jamii hiyo inahusisha uchawi? Unavyotoa example hio ni sawa na kusema anaamini zumaridi kaenda mbinguni eti kisa kaminterview
Anasema kwamba ni uchawi au anasema jamii hiyo inahusisha uchawi? Unavyotoa example hio ni sawa na kusema anaamini zumaridi kaenda mbinguni eti kisa kaminterview
Taarifa yenyewe bado hatujakwambia ni ipi na ilikuaje tayari ushaanza kutoa utetezi wako, Hujioni kuwa una shida mahali kwenye kichwa chako chief ? Au nyinyi ndio wachawi wenyeweAnasema kwamba ni uchawi au anasema jamii hiyo inahusisha uchawi? Unavyotoa example hio ni sawa na kusema anaamini zumaridi kaenda mbinguni eti kisa kaminterview
Acha kukwepa kwepa,, Ndio shida yenu habari ya corona ni mada nyingine ,na kwenye mada hiyo ntakua pamoja na wewe...unakimbilia kwenye corona na mada ni kuhusu uchawi [emoji23][emoji23]
Pitia na link hii, Hapo ni Gamboshi na huyo police kwa taarifa iliyopo alihama baada ya week moja tu.
View: https://www.facebook.com/rwezaurajohn/videos/675945343655307/
Gamboshi ipo hapa hapa Tz kama una nia kweli ya kujua kama uchawi upo au haupo nenda mkuu, utakuja kutupa mrejeshoBac mwambie ayarushe na huku...nimetoa challenge ya watu kunirushia mauchawi Hadi Leo mwaka unaisha mnaishia kubwabwaja
Kwa Nini niende sehemu...uchawi Kama upo si unakuwepo sehemu zote, au wanachagua watu wajinga na maskini ndo uwatokee, kwa Nini hautokei masaki au kisa Kuna camera za watu na za nyumba, 🤣 mnajikosha mtu ananiambia cjui niende makonde cjui wapi heee, yatume hukuGamboshi ipo hapa hapa Tz kama una nia kweli ya kujua kama uchawi upo au haupo nenda mkuu, utakuja kutupa mrejesho
Tatizo lako unapoelezwa kuhusu uchawi kuna namna umeutengenezea maana yako, Yani kuna namna ulivyoelewa kuwa uchawi upo kwa namna fulani kitu ambacho ni tofauti na uhalisia ulivyo kuhusu uchawi ( Ndio maana umeandika kuwa utumiwe huo uchawi )Kwa Nini niende sehemu...uchawi Kama upo si unakuwepo sehemu zote, au wanachagua watu wajinga na maskini ndo uwatokee, kwa Nini hautokei masaki au kisa Kuna camera za watu na za nyumba, 🤣 mnajikosha mtu ananiambia cjui niende makonde cjui wapi heee, yatume huku
🤣🤣🤣🤣Haya umeshindwa...we skia amini unachoamini. Ukitaka kuamini ng'ombe wa nyumbani kwenu anapaa kisa Babu yako kakuambia sawa. Ila huwezi niaminisha it's real kizembezembeTatizo lako uchawi umeutengenezea maana yako, Yani kuna namna unavyoamini kuwa uchawi upo kitu ambacho ni tofauti na uhalisia ulivyo kuhusu uchawi ( Ndio maana umeandika kuwa utumiwe huo uchawi )
kingine ni kwamba wewe hauna shida ya kufahamu uchawi kama upo, Ama umeamua kujizima data kichwani ili uweke ugumu kuwa una chosadiki hakuna wa kukubadilisha....Kwahiyo mimi ngoja nkuache uendelee kubishana na viraka wenzako hapa ntapoteza muda tu.
Sio nmeshindwa, ( Nmekwambia kama una shida kweli ya kujua kama uchawi upo au haupo nenda sehemu nlizokutajia ),Mimi siwezi kubishana na tahira namueleza jambo haelewi anataka nimpe ushahidi hapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya umeshindwa...we skia amini unachoamini. Ukitaka kuamini ng'ombe wa nyumbani kwenu anapaa kisa Babu yako kakuambia sawa. Ila huwezi niaminisha it's real kizembezembe
So uchawi unachagua sehemu ambazo watu wengi hawana elimu na ni maskini na hamna camera lakini wachawi hawatokei masaki na posta coz wataonekana?Sio nmeshindwa, ( Nmekwambia kama una shida kweli ya kujua kama uchawi upo au haupo nenda sehemu nlizokutajia ),Mimi siwezi kubishana na tahira namueleza jambo haelewi anataka nimpe ushahidi hapa.
Umetupiga sound,pale palikua Kauma...na joshi la mifugoPale mwanza lilipo jengo la NSSF kwa sasa kulikua na bibi anamiliki eneo hilo yule bibi alikataa kutoka eneo hilo kupisha ujenzi pamoja jitihada zote za kumubembeleza zilishimdikaana ikabidi watumie nguvu huwezi amini bulldozer, excavator, wheel loader zote zilishishindwa kuvuja nyumba ya yule bibi inakitoka huko ikiwa nzima ikifika pale inapata breakdown kufupisha story yule bibi walimkalisha chini na kumsihi sana ndio akakubali nnacho kwambia sio story ya kusikia nlikua Mwanza miaka hio kaulize hio story
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mafanikio ni siri sasa ukishaonyeshwa ili iweje
Ila ukikua utaacha
Hii point yako imethibitisha wewe ni mtoto unaweza ukawa ni mkubwa kiumri ila bado ni mtoto sana
Mafanikio ni siri hakuna anayekuambia exactly ndo maana fuata njia za aliyefanikiwa uone kama na wewe utafanikiwa ni ngumu
Ukisoma historia ya ulaya zaman walikua wanasheria kabisa za kuua wachawi
Hata lord of the ring moja ya vitabu vilivyouza sana asilimia kubwa vimeelezea mambo ya kichawi
Ukisoma historia ya shakespeare kipindi chake kulikua na mambo ya kichawi sana sasa unavyosema uchawi haupo unashangaza sana
Mimi sikujui ila kwa replying zako inaonesha bado huyajui maisha
Unaelewa hata unachokiandika kweliSo uchawi unachagua sehemu ambazo watu wengi hawana elimu na ni maskini na hamna camera lakini wachawi hawatokei masaki na posta coz wataonekana?
Jibu swali...Unaelewa hata unachokiandika kweli
Una data ya unachokizungumza kuhusu Masaki na Posta ?Jibu swali...
🤣Ndio... no evidence of uchawi. Kama unayo uleteUna data ya unachokizungumza kuhusu Masaki na Posta ?
Itakua washakuloga tayari, Nlishakwambia nenda Gamboshi kinyume na hapo hapa upo kufurahisha genge tu[emoji1787]Ndio... no evidence of uchawi. Kama unayo ulete
Malizia mkuuKuna Siku nilikuwa site Yangu binafsi mara paka akaja Spidi akanipiga Dobo(Yaana akapita katika ya Miguu yangu) , Kilichofuata baada ya hapo ili no mauza uza