Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Story, na yeye anajua wabongo wajinga ndo maana aliombea corona iondoke ili kusiwe na lockdown na wajinga mkaamini hamna corona kumbe watu wanakufa
Acha kukwepa kwepa,, Ndio shida yenu habari ya corona ni mada nyingine ,na kwenye mada hiyo ntakua pamoja na wewe...unakimbilia kwenye corona na mada ni kuhusu uchawi [emoji23][emoji23]

Pitia na link hii, Hapo ni Gamboshi na huyo police kwa taarifa iliyopo alihama baada ya week moja tu.

View: https://www.facebook.com/rwezaurajohn/videos/675945343655307/
 
Anasema kwamba ni uchawi au anasema jamii hiyo inahusisha uchawi? Unavyotoa example hio ni sawa na kusema anaamini zumaridi kaenda mbinguni eti kisa kaminterviewtDC DCaarifa yenyewe hatujakueleza bado wewe tayari ushaanza utetezi wa kindezi

Taarifa yenyewe bado hatujakwambia ni ipi na ilikuaje tayari ushaanza kutoa utetezo wako, Hujioni kuwa una shida mahali kwenye kichwa chako chief ? Nyinyi ndio wachawi wenyewe sio bure.
Anasema kwamba ni uchawi au anasema jamii hiyo inahusisha uchawi? Unavyotoa example hio ni sawa na kusema anaamini zumaridi kaenda mbinguni eti kisa kaminterview
Taarifa yenyewe bado hatujakwambia ni ipi na ilikuaje tayari ushaanza kutoa utetezi wako, Hujioni kuwa una shida mahali kwenye kichwa chako chief ? Au nyinyi
Anasema kwamba ni uchawi au anasema jamii hiyo inahusisha uchawi? Unavyotoa example hio ni sawa na kusema anaamini zumaridi kaenda mbinguni eti kisa kaminterview

Anasema kwamba ni uchawi au anasema jamii hiyo inahusisha uchawi? Unavyotoa example hio ni sawa na kusema anaamini zumaridi kaenda mbinguni eti kisa kaminterview
Taarifa yenyewe bado hatujakwambia ni ipi na ilikuaje tayari ushaanza kutoa utetezi wako, Hujioni kuwa una shida mahali kwenye kichwa chako chief ? Au nyinyi ndio wachawi wenyewe
 
Acha kukwepa kwepa,, Ndio shida yenu habari ya corona ni mada nyingine ,na kwenye mada hiyo ntakua pamoja na wewe...unakimbilia kwenye corona na mada ni kuhusu uchawi [emoji23][emoji23]

Pitia na link hii, Hapo ni Gamboshi na huyo police kwa taarifa iliyopo alihama baada ya week moja tu.

View: https://www.facebook.com/rwezaurajohn/videos/675945343655307/

Bac mwambie ayarushe na huku...nimetoa challenge ya watu kunirushia mauchawi Hadi Leo mwaka unaisha mnaishia kubwabwaja
 
Bac mwambie ayarushe na huku...nimetoa challenge ya watu kunirushia mauchawi Hadi Leo mwaka unaisha mnaishia kubwabwaja
Gamboshi ipo hapa hapa Tz kama una nia kweli ya kujua kama uchawi upo au haupo nenda mkuu, utakuja kutupa mrejesho
 
Gamboshi ipo hapa hapa Tz kama una nia kweli ya kujua kama uchawi upo au haupo nenda mkuu, utakuja kutupa mrejesho
Kwa Nini niende sehemu...uchawi Kama upo si unakuwepo sehemu zote, au wanachagua watu wajinga na maskini ndo uwatokee, kwa Nini hautokei masaki au kisa Kuna camera za watu na za nyumba, 🤣 mnajikosha mtu ananiambia cjui niende makonde cjui wapi heee, yatume huku
 
Tatizo lako unapoelezwa kuhusu uchawi kuna namna umeutengenezea maana yako, Yani kuna namna ulivyoelewa kuwa uchawi upo kwa namna fulani kitu ambacho ni tofauti na uhalisia ulivyo kuhusu uchawi ( Ndio maana umeandika kuwa utumiwe huo uchawi )

kingine ni kwamba wewe hauna shida ya kufahamu uchawi kama upo, Ama umeamua kujizima data kichwani ili uweke ugumu kuwa una chosadiki hakuna wa kukubadilisha....Kwahiyo mimi ngoja nkuache uendelee kubishana na viraka wenzako hapa ntapoteza muda tu.
 
Tatizo lako uchawi umeutengenezea maana yako, Yani kuna namna unavyoamini kuwa uchawi upo kitu ambacho ni tofauti na uhalisia ulivyo kuhusu uchawi ( Ndio maana umeandika kuwa utumiwe huo uchawi )

kingine ni kwamba wewe hauna shida ya kufahamu uchawi kama upo, Ama umeamua kujizima data kichwani ili uweke ugumu kuwa una chosadiki hakuna wa kukubadilisha....Kwahiyo mimi ngoja nkuache uendelee kubishana na viraka wenzako hapa ntapoteza muda tu.
🤣🤣🤣🤣Haya umeshindwa...we skia amini unachoamini. Ukitaka kuamini ng'ombe wa nyumbani kwenu anapaa kisa Babu yako kakuambia sawa. Ila huwezi niaminisha it's real kizembezembe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya umeshindwa...we skia amini unachoamini. Ukitaka kuamini ng'ombe wa nyumbani kwenu anapaa kisa Babu yako kakuambia sawa. Ila huwezi niaminisha it's real kizembezembe
Sio nmeshindwa, ( Nmekwambia kama una shida kweli ya kujua kama uchawi upo au haupo nenda sehemu nlizokutajia ),Mimi siwezi kubishana na tahira namueleza jambo haelewi anataka nimpe ushahidi hapa.
 
Sio nmeshindwa, ( Nmekwambia kama una shida kweli ya kujua kama uchawi upo au haupo nenda sehemu nlizokutajia ),Mimi siwezi kubishana na tahira namueleza jambo haelewi anataka nimpe ushahidi hapa.
So uchawi unachagua sehemu ambazo watu wengi hawana elimu na ni maskini na hamna camera lakini wachawi hawatokei masaki na posta coz wataonekana?
 
Pale mwanza lilipo jengo la NSSF kwa sasa kulikua na bibi anamiliki eneo hilo yule bibi alikataa kutoka eneo hilo kupisha ujenzi pamoja jitihada zote za kumubembeleza zilishimdikaana ikabidi watumie nguvu huwezi amini bulldozer, excavator, wheel loader zote zilishishindwa kuvuja nyumba ya yule bibi inakitoka huko ikiwa nzima ikifika pale inapata breakdown kufupisha story yule bibi walimkalisha chini na kumsihi sana ndio akakubali nnacho kwambia sio story ya kusikia nlikua Mwanza miaka hio kaulize hio story

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Umetupiga sound,pale palikua Kauma...na joshi la mifugo
 
Hii point yako imethibitisha wewe ni mtoto unaweza ukawa ni mkubwa kiumri ila bado ni mtoto sana
Mafanikio ni siri hakuna anayekuambia exactly ndo maana fuata njia za aliyefanikiwa uone kama na wewe utafanikiwa ni ngumu

Ukisoma historia ya ulaya zaman walikua wanasheria kabisa za kuua wachawi
Hata lord of the ring moja ya vitabu vilivyouza sana asilimia kubwa vimeelezea mambo ya kichawi

Ukisoma historia ya shakespeare kipindi chake kulikua na mambo ya kichawi sana sasa unavyosema uchawi haupo unashangaza sana
Mimi sikujui ila kwa replying zako inaonesha bado huyajui maisha

Kasome uzi ulipoanzia unatetea kitu ambacho huwezi thibitisha, wewe ni mjinga na ujinga ni sifa. Ukitaka tukuelekeze uache ujinga au uwe mpumbavu kwa kugoma kuelewa.
 
Back
Top Bottom