SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
๐๐๐๐So Kuna mwaka wa kuona uchawi...Kama upo utaje...mbona Kuna watoto wa miaka 6 wanastory za uchawi Kama jitu zima wewe, au kisa wapo Kijiji chenu... hebu tutokee hapaHakuna ujinga wowote hapo hiyo ni real story nimeshare tu.
Tatizo nyie vitoto mmezaliwa mwaka 2015+
Hamuwezi kuelewa hayo mambo.
Mkishashika vismartphone vyenu basi mnaona ndo mwisho wa dunia.
Mnaishia kutingisha vitako vyenu vichafu hivyo.
Subiri siku nikuone niokote mchanga wa nyayo zako ndo utajua hujui! In Apostle's voice๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Niombee bac aniongoze nione majini kama wewe
Uchawi wa sasa hamna kitu mnadanganywa tu.๐๐๐๐So Kuna mwaka wa kuona uchawi...Kama upo utaje...mbona Kuna watoto wa miaka 6 wanastory za uchawi Kama jitu zima wewe, au kisa wapo Kijiji chenu... hebu tutokee hapa
Hawa ni wana wa yule adui lazima wajaze kipimo cha baba yaoMimi Kila nikiona binadamu mwenye akili zake timamu bila kushurutishwa akiamini kuwa Hamna Mungu
Naamini kweli uchawi upo
Ndo yaleyale kwamba hachelewi wala hakawii mara hahakupi unachotaka, mara omba chochote kwa jina lake utapewa mara jehanamu mara mbinguni mara mimi ni roho yaaani mambo ni mengi na yote ni picha la kuchora tu vichwani mwao .... yaani niwapuuzi sana hawa watu.Ukiongea hivyo Watakuambia cjui we bado mdogo cjui nenda Kijiji fulani sijui tulia uyakute...[emoji23] visingizio kibao
Motoni ndo wapi na kumkufuru ndo kufanyaje? Wewe umemwona nani kashika kuni hapa? Tueleweshe msipende kukaa na elimu nzuri peke yenuHata kama huamini kama Mungu yupo ila usimkufuru. Wakati mwingine unajipalia makaa hapa duniani na motoni. Acheni kumkufuru Mungu.
Hivi vitabu vimeandikwa na wapuuzi ambao hawakujua dunia inazunguka jua. Ukiishi kwa akili za Hawa watu utaishia kuamini vitu ambavyo havipo ndo maana tunaenda shule. Ingekuwa Quran ni elimu tungeisoma mashuleni kwa lazima Kama sayansi
Dada yangu kuna kitu kimoja ambacho wote tunaamini. Kuna nguvu kuu kutuzodi iliyotuumba na kuumba huu ukimwengu. Kwetu tuliofanikiwa kumjua tunamuita YHWH. Kwa vyoyote hata kama humjui tunashauriwa kutokukufuru kwa kukataa uwepo wake. Hatukujiumba kama tulivyo wala hatusababishi unywele hata mmoja kukua kwenye vichwa vyetu. Tuiheshimu hiyi mamlaka iliyotufanya hivi tulivyo.Motoni ndo wapi na kumkufuru ndo kufanyaje? Wewe umemwona nani kashika kuni hapa? Tueleweshe msipende kukaa na elimu nzuri peke yenu
๐Kwa Nini mpaka yote hayo...we tumia mauchawi yako yafike hukuSubiri siku nikuone niokote mchanga wa nyayo zako ndo utajua hujui! In Apostle's voice๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐๐๐Enzi hizo watu walikuwa wanafufuliwa na jua lilikuwa linasimamishwa au sioUchawi wa sasa hamna kitu mnadanganywa tu.
Enzi hizo mtu akikunyooshea kidole kesho watu wanazika.
๐๐ Visingizio kibao.Ndo yaleyale kwamba hachelewi wala hakawii mara hahakupi unachotaka, mara omba chochote kwa jina lake utapewa mara jehanamu mara mbinguni mara mimi ni roho yaaani mambo ni mengi na yote ni picha la kuchora tu vichwani mwao .... yaani niwapuuzi sana hawa watu.
๐We unamuamini Shiva(Mungu wa wahindu) if humuamini, why huogopi moto wake?Hata kama huamini kama Mungu yupo ila usimkufuru. Wakati mwingine unajipalia makaa hapa duniani na motoni. Acheni kumkufuru Mungu.
๐ Faith is believing in fairytales ndo maana Kuna dini 1000 na madhehebu zaidi ya laki. Anyone can make stories and tell u to believe on faith. ๐Sayansi kazi yake sio kuwa na majibu kazi yake ni kufanya lyf iwe simple na how it gets there ni through uelewa na utafiti sio kukubali Babu aliyosema. I'm open minded ndo maana siumii nikiona bible au quran Zina uwongoShule imekupa majibu ya mambo yote? Sayansi imekupa majibu ya mambo yote? Shule imetoa โwapuuziโ wengi zaidi na hiyo inatosha kueleza kwamba shule ni sehemu ndogo sana ya maarifa tunayohitaji. Donโt be conservative! Be willing and open to learn in order to understand how faith works.
๐๐๐๐๐Yahweh si Mungu wa wayahudi...mbona humjui Mungu wa kijijini kwako...yaani Mungu katungwa na jamii moja ndo wa dunia..why not Allah..Zeus, Vishnu, Odin etc why Yahweh... unavyosema hujajiumba kwani huna baba au mama...au ulitengenezwa na udongo...๐ ulimwengu kuumbwa uliuona..even if umeumbwa kakuambia umuabudu au utishie watu moto...mbona mnajikoshaDada yangu kuna kitu kimoja ambacho wote tunaamini. Kuna nguvu kuu kutuzodi iliyotuumba na kuumba huu ukimwengu. Kwetu tuliofanikiwa kumjua tunamuita YHWH. Kwa vyoyote hata kama humjui tunashauriwa kutokukufuru kwa kukataa uwepo wake. Hatukujiumba kama tulivyo wala hatusababishi unywele hata mmoja kukua kwenye vichwa vyetu. Tuiheshimu hiyi mamlaka iliyotufanya hivi tulivyo.
Am not among them..bt i do believe uchawi upo.. siku yakikukuta usije ukaja kutulilia hapa..๐Kwa Nini mpaka yote hayo...we tumia mauchawi yako yafike huku
Wote na akina nani mnaamini? Na katuumba lini na nini? Kwann kuna wengine hawamjui huyo alietuumba? Mnashauriwa na nani kutokukufuru? Then YHWH ni kwanamna gani wewe unajua kuwa umeumbwa na YHWH?Dada yangu kuna kitu kimoja ambacho wote tunaamini. Kuna nguvu kuu kutuzodi iliyotuumba na kuumba huu ukimwengu. Kwetu tuliofanikiwa kumjua tunamuita YHWH. Kwa vyoyote hata kama humjui tunashauriwa kutokukufuru kwa kukataa uwepo wake. Hatukujiumba kama tulivyo wala hatusababishi unywele hata mmoja kukua kwenye vichwa vyetu. Tuiheshimu hiyi mamlaka iliyotufanya hivi tulivyo.
Yani mbaya zaidi na vitisho juu yaani waliwamaliza mababu zetu na mabuduki na kuwatumikisha kama punda, wakaona haitoshi wakaleta vitishio vya moto mara jehanam.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yahweh si Mungu wa wayahudi...mbona humjui Mungu wa kijijini kwako...yaani Mungu katungwa na jamii moja ndo wa dunia..why not Allah..Zeus, Vishnu, Odin etc why Yahweh... unavyosema hujajiumba kwani huna baba au mama...au ulitengenezwa na udongo...[emoji23] ulimwengu kuumbwa uliuona..even if umeumbwa kakuambia umuabudu au utishie watu moto...mbona mnajikosha
We kama sio illuminant basi unatumia nguvu za kiruminant ambazo zimekupofusha macho yako usitambue uwepo wa Mungu licha ya uwepo wa supernatural creatures.Wote na akina nani mnaamini? Na katuumba lini na nini? Kwann kuna wengine hawamjui huyo alietuumba? Mnashauriwa na nani kutokukufuru? Then YHWH ni kwanamna gani wewe unajua kuwa umeumbwa na YHWH?