Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Mie niliamini wakati napiga kazi sehemu moja kipondi cha mishe mishe kazin kuna mtu tulikua tukipiga dili safi tu baadae akawa analetaa tamaaa yani hana siku hana mda hana day off mie nkajitenga alikua anaketa sana vimeo sikuwah waza in my life naweza fanyiwa michezo bwana yule jamaa sijui ndo msukuma sijui wakanda ya ziwa nilipigwa juju kila nkiingia ofisin sitak kufanya kazi ila akishaapaga nkasikia stori zake kwamba alishaapa kunifukuzisha kazi au afanye lolote nipate tabu basi ikawadia miziki ikaanza nilikua napata na kiwewe sio mchezo ile hali ikazaa depression nilikonda ghafla kula siwez even kukaa na watu kuongea nao cwez ilikua koment mbaya 2022 kuja 2023 lakini nilivuka salama. Ile hali iliduma almost 11 months ila nilisurvive japo kwa mbinde sana ckuwaza kuwah kwenda kwa mganga ila nilienda nahsi mshahara wa 2022 sikufanyia maendeleo yote zaid nkipata hela inaishia kwa waganga nijiponye fitna zipo ila kujipambania muhimu toka siku iyo sipigi ishu na waluga luga hata mtu awe faith vipi bora nijipigilia mwenyeqe nkinasa basi 40 yangu imekarbia
 
Sio vitisho ni utaratibu
Kwanza uchawi ni imani .
Unataka wa aina gani?
Na kwanini ?
Mkuu nipatie huo uchawi achana maelezo mengi.
Kama hauna huo uchawi una imani hizo tu ni vyema kukaa kimya.
Mtoto akililia wembe mpatie, sasa mimi nakuomba uchawi unaanza kuleta lisala ndefu.
 
Ubungo Riverside usiku kwa macho yangu niliona mtu kasimama katikati ya Barabara asogei natokea njia ya Mwenge baada tu ya kijazi saa sita ama.saba hivi usiku, sikukwepa nikampitia... Nilinyooka moja kwa moja mpk kituo cha polisi external kujisalimisha.... Tulivyorudi eneo husika hakukuwa na hali yoyote ya uwepo wa ajali hata baada ya kuuliza waliokuwa maeneo yale... Mpaka leo hii siamini kilichotokea
 
Duhh ni hatari hii ni style mpya kabisa ya ichawiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu acha wizi sio mzuri
 
Mimi nilivyoona hii, ndio nikajua hakuna kitu kinaitwa uchawi, ni pumba tu za walevi
 
Uchawi upo
 
Huyu Uzi unanikumbusha mbali sana tokea lile tukio la kuiba maparachichi usiku na maniga wangu!
Niliacha wizi kilichotupata hatutakaa tusahau!

Yule mzee lakini alishakufa
 
Duuh
 
πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…
 
Aisee, sio poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…