Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).

Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.

Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.

Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
Duh huko ma barabarn Kuna mengi
 
Tunahitaji mtu ambaye ni notable na fame.
Mfano elon musk, adam d angelo,phil knight, aiko dangote larry ellison, larry pages

au watu kama diamond, alikiba, harmonize, na wengine wengi ambao wote wamefanikiwa kwa kufanya kazi
Mimi ukiniletea mtu yoyote anayejulikana hafanyi KAZI na ana pesa na anafahamika nipo tayari kukubaliana na wewe kwa asilimia zote.
Chief Godlove
 
Cause u don't know what science is...Sayansi ni body of knowledge, Sayansi ni process ya kutatua matatizo...ukiumwa ukajaribu mtishamba ukapona utakuwa umetest na umepata results ukifanya Mara kwa Mara with the same results utasema kwa wengine coz nao watapata same results that's Sayansi...science sio lazma uwe NASA au Muhimbili ndo uapply science is everything n everywhere ndo maana nasema hamuelewi wat science is...
Kwa mifano yako ya utasa na uchizi how do u differentiate a medical condition na uchawi...coz we unaweza sema ni uchawi daktari akasema ni medical condition na wote wakatibiwa..hata if uchawi wako ukatibu cjui uchizi au utasa Kuna explanation kibao...labda hio mitishamba ni dawa, unless apone kwa kupigiwa kelele na mchungaji hapo ndo we might raise eyebrows . otherwise wat is witchcraft to u it's a natural occurrence to another ndo maana nasema uchawi upo kwa unayeamini tu ukija kwenye real world huwezi sema uchawi upo afu ukaanza story na excuses mbona jua lipo usiku upo hatubishani maji yapo au mashoga au china ku exist ila uchawi since ni kitu Cha akili kila mtu analake
Sasa ni nani ambaye unamwambia hajui sayansi? Kwa sababu kama sayansi ingekuwa ndio kama unavyoeleza kwamba et unajaribu mitishamba mara kadhaa na ukaona umepona teyari ni sayansi, basi kipindi cha corona zingeidhinishwa dawa nyingi sana za corna na hata chanjo za corona zingekuwa nyingi tu. Lakini hali haikuwa hivyo,wewe unakuja kusema kwa sababu hawajui sayansi kwamba wewe ndio unajua sana sayansi.

Kwanza unatakiwa uelewa kwamba hiyo mitishamba inatumika kutibu maradhi ya kibailojia kwa maradhi ambayo unaweza kutibiwa hospitali na hiyo hiyo mitishamba unaweza kutumia katika maradhi yenye kusababishwa na uchawi, na mitishamba ni sehemu tu katika tiba za zenye kuhusu uchawi kwa maana zipo njia zengine kutibu matatizo ya kichawi pasina kutumia mitishamba. Mfano nchi kama za kiarabu huko tiba zao katika masuala ya kichawi hawatumii sana miti na bado wanatibiana na kupona, hali iko hivyo mkuu.

Kwahiyo magonjwa ya hospitali yapo na watu wanaenda, na yapo magonjwa yenye kusababishwa na uchawi na watu hutibiwa tena wengine baada ya kushindikana huko hospitali.
 
Sasa tuaminishe

Imani huja kwa kusikia. Wewe hujaamini kwa kusikia basi subiri utaona wakati wako ukifika. Hapa hata ukipewa shuhuda 1000 hutoamini kwasababu imani yako ipo kwenye kuona zaidi. Na siku ukipigwa upofu, basi hata technology itakayotokea baada ya hapo hutoamini hata ukiambiwa kwasababu tu kuona huwezi[emoji28]
 
Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
tuanzie hapa ulijuaje hawakuona mtu
 
Uchawi upo ndugu zangu.

Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.

Mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.

Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani inasikitisha watu wameangaika sana kumtibu lakini wapi ukumuona utamuonea huruma.
Ukweli Ni kwamba uchawi upo Kuna kijana mmoja alikuwa na maendeleo mazuri na familia yake huko Dar ingawa yeye hakuwa mkazi wa hiyo kijana alikuwa yatima wakati akiwa mdogo alilelewa na mbibi furani wa kufikia huyo mbibi alimulea kijana Kama mtoto wake wa kiume maana yeye hakuzaa mtoto wa kiume, aliishi kwa tabu Sana mwisho wa siku akatoboa akajenga huko Dar na mkewe, siku moja aliamua kwenda kijijini kujengea makaburi ya wazazi wake, alisafiri salama Hadi akafika wakpanga siku mbili ili wajengee makaburi Cha kushangaza siku wanajengea hayo makaburi akaanza kuumwa tumbo haikupita siku nae akakata mota wakazika.
 
Samahani brother kwa kukuambia hili,uelewa wako wa mambo usipojitahidi kujibadilisha utabaki kua chini sana ,nilitanguliza samahani mwanzoni unaonekana bado mchanga sana kifikra na kidini pia
Hayo maswali yako uliyouliza ni maswali marahisi sana na yanajibika in Biblical view ..unaposema nisijibu kibiblia kwa hyo mm niseme nilikuwepo wakati huo wa Yesu?

Sijawahi kuwaza kwamba kuna siku ntakuja kumuambia mtu maneno ya namna hii,
Huyo dogo ni empty sana up stairs anakupotezea muda tu.
 
Kuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).

Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.

Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.

Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
Ulikua hujanywa alcohol mkuu??
 
Hamna kitu Kama kutokewa na marehemu hivi vitu ni hallucinations tu...mbona watu wenye akili timamu na wenye maisha mazuri hawatokewi na hivi vitu. Elimu tu ndo itakukomboa, hivi vitu ni biology sio kila kitu unachokiona ni Cha ukweli ndo maana unaota ndoto. Ubongo una nguvu kubwa na unaweza kukudanganya vingi, kadri jamii inavyozidi kuwa maskini ndo jinsi inavyozidi kuwa ya kishirikina kutokana na ukosefu wa elimu
Kila sehemu unakazia akili timamu na maisha mazuri so hao waliokoment hapo izo sifa hawana
 
Kuna Profesa mmoja wa Chuo Kikuu Fulani hapa Tanzania alikuja Wilaya fulani niliyokuwa nafanyia kazi kuja kugombea Ubunge.

Wilaya ile ilikuwa inaongozwa na Mbunge fulani ambaye alikuwa ameshahudumu Kwa nafasi yake miaka 10, kwahiyo wakati Profesa anakuja kugombea jamaa alikuwa anataka kugombea Msimu wake wa 3.

Baada ya kuchukua fomu za kuwania, Chamani, Profesa akaanza kutafuta kuungwa Mkono na Wajumbe kwanza.

Kwahiyo alikuwa na waratibu wake kwaajili ya kumkutanisha na Wajumbe.

Kikao kikafanyika, kwenye Ukumbi wa Shule moja ya Sekondari. Wajumbe baada ya kutafutiwa 10k za Posho, wakajaa kama wote kumsikiliza Profesa Mtia Nia.

Ajabu baada ya Profesa kuingia Ukumbini ili aanze kuongea na Wajumbe, ghafla akaanza kuwaona Wajumbe wamegeuka kuwa Nyani.

Yaani Kila akijaribu kujikaza kuongea nao, anaona Nyani wanamcheka/wanampigia makofi ...

Profesa akatoka mbio, kuingia Kwenye gari na safari ya kurudi DSM Kazini kwake ikaanza.

Ndiyo ikawa mwanzo na mwisho wa Profesa kujihusisha na Siasa.

Ushahidi, NIAMINI BRO 🤗
 
Kuna siku nilikuwa natoka kwenye mihangaiko yangu. Sasa kufika maeneo ya njia panda ya Mwenge nikawa navuka barabara. Wakati navuka, kuna jamaa naye akawa anavuka in opposite direction (tukawa tunaangaliana).

Sasa tukawa kama tunataka kupamiana. Maana nikienda kushoto, jamaa nae anaenda kushoto. Nikienda kulia, jamaa nae anaenda kulia, hadi tukawa tumekaribiana kabisa. Nikaganda kidogo ili kumruhusu yeye afanye uhamuzi, then tupishane, jamaa nae akawa kama vile ananisikilizia Mimi ndo nifanye uhamuzi. Haya yote yalitokea kwa haraka sana, ndani ya muda mfupi, na muda huo kuna cruiser ipo speed inatokea uelekeo wa Kawe inakuja uelekeo wetu Mimi na yule jamaa maana tupo katikati ya barabara, na muda huo zimeruhusiwa gari zinazotoka upande wa Kawe kwenda makumbusho na zinazokata Kona kwenda mawasiliano, za kutokea Makumbusho zimepigwa pini.

Baada ya kuona yule jamaa nae kasimama hanipishi, nikaamua kupita kushoto kwake, ili yeye apite kulia, cha ajabu na yeye akaja upande ule ule, tukawa tumekaribiana kabisa. Baada ya kuhisi hapa tutagongwa na Ile cruiser kwa uzembe, nilijikusanya nguvu zangu zote, nikaamua kumpiga push yule jamaa ili wote tuangukie upande wake, maana sikuwa tena na namna.

Ajabu ni kwamba nilivyojipeleka kumpush, nilijikuta napush hewa, alaf nikaangukia upande wa pili, yule jamaa hakuwepo aisee. Kile kitendo cha kuanguka, Ile cruiser ilipita speed, ikanikosa kidogo sana na haikusimama Wala kupunguza mwendo. Watu waliokuwa maeneo Yale walijua nijirusha kukwepa Ile cruiser, kumbe Mimi nilikuwa nataka kumpush mtu, na wao hawakuona mtu yoyote.
🤔
 
Kuna Profesa mmoja wa Chuo Kikuu Fulani hapa Tanzania alikuja Wilaya fulani niliyokuwa nafanyia kazi kuja kugombea Ubunge.

Wilaya ile ilikuwa inaongozwa na Mbunge fulani ambaye alikuwa ameshahudumu Kwa nafasi yake miaka 10, kwahiyo wakati Profesa anakuja kugombea jamaa alikuwa anataka kugombea Msimu wake wa 3.

Baada ya kuchukua fomu za kuwania, Chamani, Profesa akaanza kutafuta kuungwa Mkono na Wajumbe kwanza.

Kwahiyo alikuwa na waratibu wake kwaajili ya kumkutanisha na Wajumbe.

Kikao kikafanyika, kwenye Ukumbi wa Shule moja ya Sekondari. Wajumbe baada ya kutafutiwa 10k za Posho, wakajaa kama wote kumsikiliza Profesa Mtia Nia.

Ajabu baada ya Profesa kuingia Ukumbini ili aanze kuongea na Wajumbe, ghafla akaanza kuwaona Wajumbe wamegeuka kuwa Nyani.

Yaani Kila akijaribu kujikaza kuongea nao, anaona Nyani wanamcheka/wanampigia makofi ...

Profesa akatoka mbio, kuingia Kwenye gari na safari ya kurudi DSM Kazini kwake ikaanza.

Ndiyo ikawa mwanzo na mwisho wa Profesa kujihusisha na Siasa.

Ushahidi, NIAMINI BRO 🤗
Wanasiasa wengi ni washirikina. Miongoni mwa nyakati ambazo waganga wa kienyeji hufanya sana biashara ni wakati wa uchaguzi.
 
Back
Top Bottom