SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
1. Defensebring sio credible source. Nataka BBC, Wikipedia, CNN, hivyo. Ndege tu ikianguka dunia nzima news. So niletee news source inayoeleweka hizi page hata wewe unaweza tengeneza.Mwanzo nilikuambia Kuwa kwenye Hii Dunia huna unachojua ndo maana unapinga sana pasipokua na reason na inaonyesha kwa namna gani hufuaatili, Kuna baadhi ya Mambo hata Wana sayansi unao wamina wameshindwa kabisa kuyatatua wanabaki kunyamaza lakin ukweli Kuwa Haya Mambo yapo,, na kama wew na mtu ambaye huamini uchawi pengine nilitegemea uwe na sababu za kutosha kuthibitisha, na Kwa kulifanyia utafiti nenda hata huko vijijini ujionee mamb yanavyo endeshwa siyo kukurupuka hapa
Chukua link hii kaisomr hiyo ndege iliyopotea mpaka Leo Wana sayansi wanalifanyia utafiti bado hawajapata majibu The Mysterious Disappearance of Pan Am Flight 914 | Defensebridge
2. 🤣Unajuaje sijaishi kijijini. Yaani we utaendelea kushift tu premise, Mara nikue, Mara niende Kijijini, Mara kiroho cjui. Mwishoni utasema nife ndo nitaona Kama watu wa dini wasemavyo.
3. Niambie kitu ambacho wanasayansi wameshindwa kuelewa na wakakaa kimya na kusema ni uchawi?