SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
😂We unajuaje...unajuaje kwamba matajiri wa Dubai wanaamini uchawi. We kisa Quran imeandikwa majini ndo nao wanaamini kisa waislamu au...we vitu vingapi vipo kwenye vitabu vya dini huamini na hujui lakini bado unaamini hio dini...njoo na hoja banaBasi msipende kulihusisha hilo neno uchawi kwenye kuzungumzia kutokuendelea kwa afrika, waarabu wametupita kimaendeleo na ndio wanaamini dini na uchawi pia.