Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

Basi msipende kulihusisha hilo neno uchawi kwenye kuzungumzia kutokuendelea kwa afrika, waarabu wametupita kimaendeleo na ndio wanaamini dini na uchawi pia.
😂We unajuaje...unajuaje kwamba matajiri wa Dubai wanaamini uchawi. We kisa Quran imeandikwa majini ndo nao wanaamini kisa waislamu au...we vitu vingapi vipo kwenye vitabu vya dini huamini na hujui lakini bado unaamini hio dini...njoo na hoja bana
 
Uko sahihi kufanya Uchaguzi. Ila spiritually hakuna mpaka huo wa Past or Future, hakuna mipaka hata ya nafasi ya hapa na pale, maana hicho mkiitacho Mungu ni Ukamilifu(Limitless). Jana ni Leo na Leo ni Jana, ni katika udhaifu wa mwili tu ndio tunaona hilo.
Hivyo katika kuchagua udhaifu wako hiyari ni yako.
😂Eeeh
 
😅So tunabishana Kama jua lipo...skia, ☺️Kama hulioni jua unaona majini yako, nenda mirembe
Ni nani huyo umebishana nae ubishi wa kitoto huo kuwa Jua halipo au lipo? Naona umeanza kujitungia mjadala mwepesi.

LETE USHAHIDI HUMU NDANI JUU YA NINI KINAFANYA JUA. Usijitoe akili.
 
Mimi binafsi sijasema kuwa ni uchawi ule au siobuchawi, hivyo mtazamo wangu ni kuwa yaweza kuwa moja wapo kati ya hayo mawili kuwa ni kiwewe tu cha kawaida au pia ni ushirikina kwa sababu michezo hiyo ipo.
But u can't prove ipo...it's just an easy answer...mtu unajiskia raha kusema ni uchawi au miujiza coz it is more appealing. Lakini unaona uvivu kufikiria the real reason..ndo maana wenzetu wameendelea
 
Mbona unajichanganya mara utajiri wao ni kwa sababu ya mafuta tu na sijui ule uwekezaji ni wa wazungu mara tena waarabu wamesoma na wengi hawaamini uchawi siku hizi, sasa hapo mie nielewe lipi kuhusu hao waaarabu?
Vyote
 
Haujafafanua wanabahatisha vp? Kabla mie sijajibu maswali yako kwanza elezea nielewe ni vp wanabahatisha maana ni neno tata kwa hapo, kwa sababu kubatisha kunaweza kuwa umejaribu kitu fulani na ikatokea kama matokeo ambayo ulikuwa unatamani yatokee ila kwa bahati tu hukuwa na uhakika itatokea hivyo au hukuwa ukijua unachofanya kama kitaleta hayo matokeo.

Au ni vp hasa huko kubahatisha?
Mi naweza nikasema Babu yako amefariki na kweli akawa amefariki. It's just a mind game intelligent guess
Hamna Cha kutisha..pia Kuna placebo effect, so yeah..
 
Ni nani huyo umebishana nae ubishi wa kitoto huo kuwa Jua halipo au lipo? Naona umeanza kujitungia mjadala mwepesi.

LETE USHAHIDI HUMU NDANI JUU YA NINI KINAFANYA JUA. Usijitoe akili.
It's none of my business...nenda NASA for that..sijasoma physics Mimi
 
Uchawi upo unabisha uchawi haupo na unaamini kuna MUNGU wewe ni mwehu
 
It's none of my business...nenda NASA for that..sijasoma physics Mimi
Sasa na hoja zako za kuleta uthibitisho wa Uchawi humu ndani zife, maana unajua wapi wachawi wanaishi. Wafuate ukajithibishie madai yako.

Halafu namna yako ya kuitaja NASA inakufanya uonekane ni hamnazo kichwani.

Kaa chini!
 
So uchawi unachagua wenye familia..Mara umri Mara Kijiji now wenye familia tu. Mbona Kama mnahamisha goli tu... In short pole kwa lolote unalopitia katika maisha yako, Ila Kuna watu wanapata matatizo na kutafuta majibu halisi na msaada wa kweli...it's better na wewe ufanye hivyo kuliko kutafuta mchawi au jini la kumsingizia
Ungejipa muda wa kutumia akil hata usingefika kote huku..Anyway.Kuelewa mambo kwa upana nacho ni kipaji na si cha kila mtu.Pole mkuu.
 
Uchawi upo ndugu zangu.

Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga.

mjomba wake akajiapiza wewe dogo si babu yako anakupenda sana sasa utaona.

Hivi sasa dogo ni kichaa dah, yaani inasikitisha watu wameangaika sana kumtibu lakini wapi ukumuona utamuonea huruma.
DP World.
 
Bado ni story tu...why uchawi uchague watu..walinzi naweza elezea ni uchovu, au something lyk that I'm not a mental doctor hayo maswali mengi muulizeni muhimbili. Coz I'm sure hata mirembe watu wa hivi wapo. Ni psychology tu..mbona watu kibao duniani wanaishi mpaka wanakufa hawaoni kitu..so unachagua watu au..why specific groups of ppo..Mara Kijiji Mara watu wenye shida Mara watu wenye kazi zenye uchovu Kama ma lorry au walinzi...why not a normal person
Kwahiyo hata walinzi, madereva na wavuvi wa huko kwa wenzetu nao hupatwa na uchovu na kuona vitu kama hivyo?

Vp kuhusu mimi kuota ndoto mbaya nilipokuwa nalala chumba kilichowahi kutumiwa na mganga? Kisaikolojia hii ikoje?
 
😂We unajuaje...unajuaje kwamba matajiri wa Dubai wanaamini uchawi. We kisa Quran imeandikwa majini ndo nao wanaamini kisa waislamu au...we vitu vingapi vipo kwenye vitabu vya dini huamini na hujui lakini bado unaamini hio dini...njoo na hoja bana
Mbona povu? Kwa sababu ni matajiri ndio maana unaona hawaamini uchawi kwa kuwa umekariri kuwa watu masikini tu ndio wanaamini uchawi na kuamini kwao uchawi ndio huwafanya wawe masikini.
 
Back
Top Bottom