Kataa Rushwa
JF-Expert Member
- May 15, 2015
- 728
- 765
Ukiendekeza kuhonga Pesa wanawake utaishia kuwa maskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah imenigusa pia hii...baba alikuwa na akili na msomi but hakuna cha maana alichokuwa anafanya!Mama angu alikuwa akisema "Kuliko ukose akili bora ukose mali" Hii ni bada ya mshua alikuwa akipata pesa lakini alishindwa kufanya cha maana chochote kile. Inauma sana aisee basi tu.
Mama yangu amefariki nikiwa mdogo sana,..japo mama mlezi alinambia nikiwa std six ukipata mimba nakuua bila maelezo yoyote nikabaki najiuliza mimba wanapataje?!
Poleni na kazi za wiki nzima Wakuu!
Ni weekend ya kurelaxxx
Nimeona leo tujikumbushe enzi zileeeee
Nikiwa mdogo nilikuwa sipendi kula chakula kingi ila nilikuwa napenda mboga kama nyama au samaki, wasiponiangalia wakati wa kupakua wanaumia! Nilikuwa najijazia mboga kiukwelii...nilikuwa na umri kama wa miaka 6-8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama akanidhibiti kwa kunieleza kuwa, kila wakati ninapopakua mboga niwe nawakumbuka wenzangu ambao hawajapakua.
Tokea kipindi hicho mpaka leo huwa kila nikitaka kupakua lazima nikumbuke ambao bado hawajapakua. Hivyo mama alinifundisha nidhamu wakati wa kula tokea enzi zile mpaka leo nakumbuka.
Vipi wewe unakumbuka lipi ambalo mama alikurudisha kwenye reli?
Hahahaaa,...nilshajua na kufanyia practical kabisaUlishajua lakini au bado?