pale nilipo wachukulia poa ndugu wa marehemu mzee, kwa kudhani kushinda kesi mahakamani basi kila kitu kitakuwa kimeisha.
aisee wali nipiga juju hatari, kwanza hulali usiku, kichwa kina uma kishenzi.
na uki lala una ota ndoto za ajabu ajabu.
Mara uwe una enda kuzikwa, Mara ukabwe ndotoni, na uki shituka mwili una toa jasho huku uki pata tabu kuhema.
Mara ushindwe kuhesabu shilingi 100 au 200, una ona kitu ila jina huki jui.
Nili kuwa niki Soma vitabu +hard copy) lazima nisinzie.
Ila soft copy Wala hakuna shida.
Nika kimbia mkoa husika, ila huko nako ni Yale yale, Ika bidi nita fute mbinu mbadala.
Member mmoja humu aka ni connect na babu yake, siwafichi nili pona siku 1 tu.
siku zilizo fata ni mateso tu, Ika nibidi nizunguke huku na huko. Ila wapi.
nakumbuka nili enda Tanga muheza, ostazi mmoja aka sema ata nitibu, Nika pigwa dawa mbali mbali.
Still hamna kitu.
aka mwita mwenzie ili wapigie Dua nzito, nakumbuka tuli lala usingizi wote.
tukaja amshwa na muongeza ubani 🤣😂, yule ostazi mwingine aka niita chemba kuni ambia tatizo ni kubwa na zito.
hivyo yeye hawezi, aka nipa ushauri niende kwingine. Kuliko kukorofisha vitu vitakavyo nidhuru zaidi.
aisee, sita sahau.
mshamba_hachekwi,
Half american,
MrsPablo1,
Selikavu,
adriz,
ephen_,
Shadow7,
Bolotoba,
makutupora,
trudie,
Vishu Mtata,
Grahams,
trudie