monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,271
- 1,803
Wakuu ni kitu gani ambacho unajutia sana kukifanya maishani mwako.
Kwa upande wangu najutia sana kusoma Bachelor moja kwa moja toka Advance badala ya kuanza diploma au certificate ningekuwa nimesha ajiriwa au kupiga hatua kwa namna moja au nyingine kielimu kuliko kukaa na vyeti vya Bachelor ndani na ajira hakuna.
Ni jambo gani unajutia maishani?