Kitu gani unajutia kufanya maishani?

Wewe ni jinsia gani mkuu
 
Alright Sasa nimeelewa nilikuwa napewa stori Kama hizi na yule mzee wetu akisema yupo kijana wake anapitia Hali hii .
Nilidhani ni pombe kumbe alimaanisha pole Sana Kaka Ila utakuwa umepona Sasa ?

Nikumbuke mzee wako yule nimejihisi vibaya Sasa maana hii ilikuwa Kama topic kila mkizungumza akihitaji msaada nkawa nampuuza .

IAM sorry Intelligent businessman
 
Thank God, niko poa sana. nashukuru pia Kama ali lifikiria angalau.

Ili bidi umafia kutumika, ili kumalizana nao.

Usi waze Sana kaka, ana endeleaje lakini??
 

Wala usimuache ila mpe funzo, hold mali zote taratibu andikisha majina tofauti bila yeye kujua. Au uza kisha nunua ingine kwa kificho, watoto wakisogea unawaonesha na wape waanze kunufaika navyo.

Au

Ondoka muache alipo na watoto, tafuta gheto kwingine nenda kaishi na kuendelea na mambo yako!! Akikuomba mrudishe family, mtie kitanzi cha mikataba!!

Hana maana huyo!!

Hiyo ya juu ndiyo niliapply mimi!! Alikuja kugundua baadae sana na kanyooka kawa na adabu si mchezo.
 
Thank God, niko poa sana. nashukuru pia Kama ali lifikiria angalau.

Ili bidi umafia kutumika, ili kumalizana nao.

Usi waze Sana kaka, ana endeleaje lakini??
Sijui lolote maana hapatikani natamani kumuulizia Shem Ila ndiyo vile maaskari hawatabiliki Kaka na nilivyojichokea na ulanzi asijesema ni kibaka ninayemuulizia mmewe bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…