Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.

Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
hii imenifanya nicheke peke yangu. Sivuti picha ulivyomchana sura yake ilisawajikaje.
 
Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.

Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
🤣🤣🤣🤣sipati picha alivyokuwa anajituma kukatika on the stage....
 
Mama mchungaji kwenye jamii wana muheshimu kweli. Alikuwa anali na rafiki yangu. Sasa kuna siku alinikuta dukani na nunua K VANT, kaanza hubiri nikakausha sikutia neno.
Siku natoka mahali nakutananae kaanza kuni hubiria ile nakaribia geto nika mchana kuhusu jamaa najua ABC na nikamwambia ushahidi ninao. Hahahahahaha alikuwa mpole balaa akawa ananionea aibu.
Akaja kuniomba aje geto tuonge.
Aiseee, Mama Mchungaji katisha.
 
Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.

Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
Hii Kali kuliko zote
 
Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinee vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu yake imeingia meseji, twilili, nikasikia anafungua mlango taratibu akatoka chumbani kwake na kuingia chumba cha huyo mpangaji, nikawa tu nahisi.

Ila ghafla kuna mtu akawa anamuita maana ilikuwa bado mapema nikasikia anatoka haraka kwa kunyata alipofika chumbani kwake akaitika

Ila mchezo uliendeleaga mpaka mkewe aliporudi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbea kinoma we jamaa
 
Kuna jamaa niliweka fegi kwenye kasha sasa imebaki moja na iko sebureni

Ila naingia chumbani jamaa akaiunuka sasa mi nataka kurudi naona anaificha kwenye koti.

Tumepiga piga vipombe weee sasa muda wa kutoka ikabidi nimpe kiberiti aiwashe ili mi nivute kipande changu ye aende na chake.

Aseeeee sikutegemea mshtuko
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀nimecheka kifala... vipi aliitoa??
 
Kwamba wauza supu wanadhani hatujui kuwa Ile Miko ni mikono ya watu na viti ni migongo ya watu tunakalia na supu kabla ya kuileta sokon lazima wachambie ule utoko wa asubuhi kabla hajaoga papuchi.🙄 Lakini tunakula tu maisha yanaenda😠
 
Back
Top Bottom