Mimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.
Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.
nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.
nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.
sijawahi tafutwa hadi leo