Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

hii imenifanya nicheke peke yangu. Sivuti picha ulivyomchana sura yake ilisawajikaje.
 
🀣🀣🀣🀣sipati picha alivyokuwa anajituma kukatika on the stage....
 
Aiseee, Mama Mchungaji katisha.
 
Hii Kali kuliko zote
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbea kinoma we jamaa
 
Kuna jamaa niliweka fegi kwenye kasha sasa imebaki moja na iko sebureni

Ila naingia chumbani jamaa akaiunuka sasa mi nataka kurudi naona anaificha kwenye koti.

Tumepiga piga vipombe weee sasa muda wa kutoka ikabidi nimpe kiberiti aiwashe ili mi nivute kipande changu ye aende na chake.


Aseeeee sikutegemea mshtuko
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€nimecheka kifala... vipi aliitoa??
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€nimecheka kifala... vipi aliitoa??
Ilimlazimu tu sasa angefanyeje
Sema tulipotezana nae kwenye mkonge tanga huko mwishoni mwa miaka 80
 
Kwamba wauza supu wanadhani hatujui kuwa Ile Miko ni mikono ya watu na viti ni migongo ya watu tunakalia na supu kabla ya kuileta sokon lazima wachambie ule utoko wa asubuhi kabla hajaoga papuchi.πŸ™„ Lakini tunakula tu maisha yanaenda😠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…