Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Yani ukarudisha majeshi kwa huyo Binti ili kumkomoa jamaa Yako, upo sawa kweli mkuu? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Huyu jamaa toka ametoka jera hayuko sawa
Kweli kabisa hayuko sawa tokea nimpe spana matata iliyomwingia vyema sasa ameamua kujipa Kazi ya kutafuta kila post yangu kudisike na kuniquote hovyo halafu mimi sina habari nampuuza tu hata kumquote naona kupotea muda.

Huyo dogo nilianza kumuona akili hana baada ya kuwa na tabia ya kila uzi kupost picha ya Wasira, Stivu, Nguruwe na wanawake wakiwa uchi siku hizi amepunguza baada ya dawa yangu kumuingia kisawasawa ameamua kunichukia na kuanzisha vita ya kipuuzi dhidi yangu kisa mimi nachukia ujinga hapa Jf haswa uliofikia katika kiwango kama chake.
 
Mi siwezi wasiliana na snitch na ukweli lazima nikwambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…