MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Astaghafulilah to yeye nimeshindwa kumaliza supu yangu hapa kwa mama kigushe na leo ni IDD EL ADH'HAAKwamba wauza supu wanadhani hatujui kuwa Ile Miko ni mikono ya watu na viti ni migongo ya watu tunakalia na supu kabla ya kuileta sokon lazima wachambie ule utoko wa asubuhi kabla hajaoga papuchi.[emoji849] Lakini tunakula tu maisha yanaenda[emoji34]
Wengi sana wanajifanyaga hio michezo hawaijui ila nyuma ya pazia ni wataalamuKuna Demu najua kabisa kuwa analiwa 'Kwa Mpalange' na Rafiki yangu, ila Yeye kila akiisikia hii Mada ya 'Kwa Mpalange' ndiyo anakuwa Muelimishaji na Mpingaji Mkuu kuwa ni mbaya sana na ni Kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu.
Biashara bila matangazo haiendi man[emoji3]Mimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.
Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.
nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.
nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.
sijawahi tafutwa hadi leo
Inaonesha rafiki yako akikuomba trako utampa kirahisi sana we jamaa.Uko nyuma during of my heyday Nilikuwa na uhusino na kabint hivi jamaaa yangu wa karibu akakataka pia, after several attempt za kunizunguka kushindikanq ili apige mbunye , kutokana na kademu kana msimamo kanajua mimi na jamaa ni marafiki ikabidi jamaa aniambie ukweli kuwa anamtaka demu wangu. Jamaa anajua vizuri hulka yangu so haikumuwia ngumu kuniambia kitu kama icho na si mara ya kwanza jamaa kuniomba mademu zangu.
Siku moja nikakaita gheto(ni kabint kadogo hakawezi nishinda maarifa na ulaghai) nikakapa ABCD kuhusu jamaa, kufupisha story nikakambia jamaa ni mtu sahihi kwake kuliko mimi kwasababu kadha wa kadha.
Kutokana kalivyokuwa kananiogopa na kunitii nikakachukua hadi gheto kwa mshikaji wakafanya yao usiku kucha na toka siku hiyo nikajitenga pembeni.. Ila kademu roho ikiwa ipo kwangu hata wanapokuwa faragha na kutokana kuwa mimi sikauki mdomoni mwake ilo jambo halikumpendeza jamaa, ikabidi jamaa amwabie demu kuwa mi natumia DOZI so kuendelea kuniwazia mimi ni kuhatarisha maisha yake. Kademu kakaja Kuniambia story nzima, nikakualiza amekuabia hivyo, WEWE UNASEMAJE ?. kakasema, mimi nilikuwa ninakuambia tu vile jamaa yako anasema kuhusu wewe,
Nikasema sina neno kuhusu anachokisema jamaa, ikiwa unahitaji uthibitisho juu ya alichokisema mwambie athibishe yeye. Kutokana na ujira niliolipwa na jamaa yangu dhidi ya kazi niliyoifanya ya kumpa demu tena binti mbichi, ikabidi niendelea kukafinya kale kademu.
Ila ni kwamba hadi leo ni mwaka wa 8 sijawai mwambia jamaa kuhusu UNAFIKI wake dhidi yangu na tunawasiliana kila uchao na tunasaidiana sana katika mambo mengi.
Sawa, ni vyema pia.Inaonesha rafiki yako akikuomba trako utampa kirahisi sana we jamaa.
Wee utakua mchawi pia ndio maana unaona yote hayo[emoji23][emoji23]Kwamba wauza supu wanadhani hatujui kuwa Ile Miko ni mikono ya watu na viti ni migongo ya watu tunakalia na supu kabla ya kuileta sokon lazima wachambie ule utoko wa asubuhi kabla hajaoga papuchi.[emoji849] Lakini tunakula tu maisha yanaenda[emoji34]
AiseeeEnzi hizo home familia nzima tulikuwa tumetoka tumeenda kwenye sherehe nyumbani alibakia dada yangu mkubwa basi kule harusini nikamzingua bi mkubwa kuwa kichwa kinauma nataka kurudi home ila lengo langu ilikuwa niende Uwanjani kucheza mpira, sasa nafika home nakuta mlango uko wazi nikaingia taratibu kufika chumba cha sista nakuta mlango uko wazi sista anagongwa kifo cha mende na anko wetu, nilirudi nyuma taratibu nikatoka mbio kurudi kwenye sherehe, ile ilikuwa mara yangu ya kwanza kuona watu wakifanya mapenzi, sikuwahi kumwambia mtu na hawajui kama niliwaona hadi leo hii sista aliolewa ana watoto wanne na yule anko alikua anajifanyaga mkuda enzi hizo nikikosea nyumbani yeye ndio anaitwa anichape ila siku hizi huwa nakaa nae tunapiga tungi, nimepanga siku moja tukilewa nimchane nilimuona akimgonga sista.
Alisema mshanaWee utakua mchawi pia ndio maana unaona yote hayo[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.
Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKuna jamaa niliweka fegi kwenye kasha sasa imebaki moja na iko sebureni
Ila naingia chumbani jamaa akaiunuka sasa mi nataka kurudi naona anaificha kwenye koti.
Tumepiga piga vipombe weee sasa muda wa kutoka ikabidi nimpe kiberiti aiwashe ili mi nivute kipande changu ye aende na chake.
Aseeeee sikutegemea mshtuko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kweli kabisaaa.Kwamba wauza supu wanadhani hatujui kuwa Ile Miko ni mikono ya watu na viti ni migongo ya watu tunakalia na supu kabla ya kuileta sokon lazima wachambie ule utoko wa asubuhi kabla hajaoga papuchi.[emoji849] Lakini tunakula tu maisha yanaenda[emoji34]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama mvulana huwezi elewa...Sasa kuna ubaya gani wee si umemuacha au ulitaka asidinywe na mtu mwingine yoyote
Ndo uhalisia huo🤣🤣🤣🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ni kweli kabisaaa.