Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiii hata Mimi ilinitokea na sijamuuliza Hadi leo
 
Pole sana ,sipati picha walivyotoa macho kama kiboko..
 
X boss wangu alimwambia mfanyakazi wetu mpya tena mdogo sana kwetu kua aliwahi kua na mahusiano na mimi na yeye asijiingize kwenye mahusiano na mimi bado ana mpango turudiane baadae so ajiadhari na mimi, yule binti alikua best angu sana tukiwa kazini na mambo yake mengi alinishirikisha ila ckuwahi mtongoza, lakini ndani ya miaka mi4 tuliyofanyanae kazi hakuwahi niambia kua alikalishwa kikao kipindi anaanza kazi, apo mi najua hajui chochote kumbe ananichora tu... Alikuja niambia baadae baada ya kuacha kazi...

Nilishangaa sana maana anamwambia hivyo tulishaachana miaka mi2 nyuma tupo kikazi tu, nkajiuliza yeye mke wa mtu anatoa wapi ujasiri huo tena kwa binti kama yule,
Hua namuangaliaga alivyo siriaz afu kaenda kujianika najisemea uzuri wa yule mtoto wa kirangi ulimchanganya.
 
Marafiki ni kuishi nao Kwa akili sana ,ulitumia akili sana kuepusha ugomvi ila uliona haifai kugombana kisa demu,uzuri.usha msoma rafiki yako Tabia yake.
 
Marafiki ni kuishi nao Kwa akili sana ,ulitumia akili sana kuepusha ugomvi ila uliona haifai kugombana kisa demu,uzuri.usha msoma rafiki yako Tabia yake.
Sure.jamaa nilimpuuza ila si kiwango cha kutoongea nae hadi leo.
Eneo tulilokuwa usipojiongeza kutoka nje ya eneo ilo umbali wa 50/47 kms uwezi ona jinsia Ke hata kwa miaka 2.
So, mimi nilikuwa ninachomoka natia mafuta kwenye bike naenda kung'oa uko kijijini naleta kempu ndiyo katika hali hiyo jamaa akawa ananiomba apoze kiaina ila malipo ikawa ndiyo hayo.
 
Kuna Demu najua kabisa kuwa analiwa 'Kwa Mpalange' na Rafiki yangu, ila Yeye kila akiisikia hii Mada ya 'Kwa Mpalange' ndiyo anakuwa Muelimishaji na Mpingaji Mkuu kuwa ni mbaya sana na ni Kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu.
Hahahhh
 
Uliingilia mapenzi ya watu. Hao bado hawajaachana na siku wakikutana wanapasha kiporo.
Mama mtoto wangu alitumia simu yangu kumtumia ex wake picha...akatuma then akafuta hajui kua simu inatunza kwenye recycle bin.
Najua hajui kama najua...mi namchora tu.
 
Ile nimeambiwa nikamuite sister tupate msosi wa jioni mi nikachungulia kwanza chumbani si nikakuta amepanua anainyoa. Nikarudi kinyumenyume halafu kwa mbali nikaita....akaitika...ondoka rudi kwa mama nakuja.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huu uzi unafurahisha na kufundisha hapo hapo [emoji23]
 
Kila mtu ana siri nyingi tu anazoziona na anazofanya sasa mkitaka kuzihadithia humu eidha mtaumbua watu au mtaumbuka hata nyinyi wenyewe

Mwanaume kifua! Siyo lazima kila kitu ukihadithie

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…