Chambichambi
Senior Member
- May 23, 2022
- 139
- 229
Kuna mchungaji ni rafiki angu sana, anachepuka mpaka kazaa na mtoto nje. Anajuanga sijui Ila najui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.
Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
Hiii hata Mimi ilinitokea na sijamuuliza Hadi leoDah[emoji25][emoji25][emoji25]hii imegusa moyo sana kuna siku nikiwa mazingira yangu hatarishi kikazi jamaa yangu sana akaniomba nikamchekie kitu sikumbuki hasa kilikua kitu gani kwenye begi lake,kufika pale nikaaanza kukitafuta ghafla bin vuu nikakutana na madonge ya Arv's dah nikarudisha fasta na jamaa hakujua kama nimekuta njugu mle
Pole sana ,sipati picha walivyotoa macho kama kiboko..Mimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.
Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.
nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.
nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.
sijawahi tafutwa hadi leo
Marafiki ni kuishi nao Kwa akili sana ,ulitumia akili sana kuepusha ugomvi ila uliona haifai kugombana kisa demu,uzuri.usha msoma rafiki yako Tabia yake.Uko nyuma during of my heyday Nilikuwa na uhusino na kabint hivi jamaaa yangu wa karibu akakataka pia, after several attempt za kunizunguka kushindikanq ili apige mbunye , kutokana na kademu kana msimamo kanajua mimi na jamaa ni marafiki ikabidi jamaa aniambie ukweli kuwa anamtaka demu wangu. Jamaa anajua vizuri hulka yangu so haikumuwia ngumu kuniambia kitu kama icho na si mara ya kwanza jamaa kuniomba mademu zangu.
Siku moja nikakaita gheto(ni kabint kadogo hakawezi nishinda maarifa na ulaghai) nikakapa ABCD kuhusu jamaa, kufupisha story nikakambia jamaa ni mtu sahihi kwake kuliko mimi kwasababu kadha wa kadha.
Kutokana kalivyokuwa kananiogopa na kunitii nikakachukua hadi gheto kwa mshikaji wakafanya yao usiku kucha na toka siku hiyo nikajitenga pembeni.. Ila kademu roho ikiwa ipo kwangu hata wanapokuwa faragha na kutokana kuwa mimi sikauki mdomoni mwake ilo jambo halikumpendeza jamaa, ikabidi jamaa amwabie demu kuwa mi natumia DOZI so kuendelea kuniwazia mimi ni kuhatarisha maisha yake. Kademu kakaja Kuniambia story nzima, nikakualiza amekuabia hivyo, WEWE UNASEMAJE ?. kakasema, mimi nilikuwa ninakuambia tu vile jamaa yako anasema kuhusu wewe,
Nikasema sina neno kuhusu anachokisema jamaa, ikiwa unahitaji uthibitisho juu ya alichokisema mwambie athibishe yeye. Kutokana na ujira niliolipwa na jamaa yangu dhidi ya kazi niliyoifanya ya kumpa demu tena binti mbichi, ikabidi niendelea kukafinya kale kademu.
Ila ni kwamba hadi leo ni mwaka wa 8 sijawai mwambia jamaa kuhusu UNAFIKI wake dhidi yangu na tunawasiliana kila uchao na tunasaidiana sana katika mambo mengi.
Sure.jamaa nilimpuuza ila si kiwango cha kutoongea nae hadi leo.Marafiki ni kuishi nao Kwa akili sana ,ulitumia akili sana kuepusha ugomvi ila uliona haifai kugombana kisa demu,uzuri.usha msoma rafiki yako Tabia yake.
HahahhhKuna Demu najua kabisa kuwa analiwa 'Kwa Mpalange' na Rafiki yangu, ila Yeye kila akiisikia hii Mada ya 'Kwa Mpalange' ndiyo anakuwa Muelimishaji na Mpingaji Mkuu kuwa ni mbaya sana na ni Kinyume na Maandiko ya Mwenyezi Mungu.
Duu umezeeka sasaTukiyasema siku Maxence Melo akichoka kutubebea kifuani watu tutaumbuka, acha tu tukae nayo moyoni.
jamaa hakuamini kabisa na urafiki kwishaPole sana ,sipati picha walivyotoa macho kama kiboko..
Mama mtoto wangu alitumia simu yangu kumtumia ex wake picha...akatuma then akafuta hajui kua simu inatunza kwenye recycle bin.
Najua hajui kama najua...mi namchora tu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ile nimeambiwa nikamuite sister tupate msosi wa jioni mi nikachungulia kwanza chumbani si nikakuta amepanua anainyoa. Nikarudi kinyumenyume halafu kwa mbali nikaita....akaitika...ondoka rudi kwa mama nakuja.
PopomaMbowe hajui kama tunajua ana uhusiano na Joyce Muky