Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Mimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.

Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.

nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.

nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.

sijawahi tafutwa hadi leo
Safi tutakupa uraia wa Russia [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220713-124621.jpg
 
Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu yake imeingia meseji, twilili, nikasikia anafungua mlango taratibu akatoka chumbani kwake na kuingia chumba cha huyo mpangaji, nikawa tu nahisi.

Ila ghafla kuna mtu akawa anamuita maana ilikuwa bado mapema nikasikia anatoka haraka kwa kunyata alipofika chumbani kwake akaitika

Ila mchezo uliendeleaga mpaka mkewe aliporudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Ile nimeambiwa nikamuite sister tupate msosi wa jioni mi nikachungulia kwanza chumbani si nikakuta amepanua anainyoa. Nikarudi kinyumenyume halafu kwa mbali nikaita....akaitika...ondoka rudi kwa mama nakuja.
Daah umefika mbali sana mkuu
 
Kuna Boss wangu mmoja, ana mume wake ila hawaja funga ndoa, kuna kipindi nika pata kazi kwake nikawa na mwendesha kumpeleka ofisini kumrudisha home na mizunguko yake mingine

Huyu boss ni wa kike) siku kadri zilivyo songa nikawa na hisi kitu kati yake na mkurungenzi wa ile ofisi baada ya muda mrefu kipita nikajua kwamba ana nyanduana na boss wake.

Pia huyu mzee (mkurugenzi) ana mhonga sana huyu Bi dada yaani kasaidiwa mambo mengi sana mengine siwezi kuya sema hapa maana hii code ina weza kuwa nyepesi sana,

Mume wa huyu dada ( boss wangu) hajui kitu chochote kinachoendelea na anajua anapendwa sanaaa alivyo fala daah... [emoji23] basi huyu demu na boss wake na wao walivyo mafala wanajua sijui chochote kuhusu wao [emoji23] kwa sababu mimi ni Under 5 sielewi kitu.

Ila ukweli na jua siri nyingi sana za huyu boss wangu ni vile tu najali kibarua changu na sipendi maneno na mambo ya siyo ni husu. Laiti huyu dada angelikuwa ana mtu ambaye hamnazo au kipa katoka mahusiano yake na mume wake yangelikuwa (ICU)
Hayo mambo yapo ni kawaida wewe tu ndo inaonekana uzoefu hujawa nao. Unaweza kuta wewe wa nje ndo unadhani yeye na mumewe wanapendana kumbe huko ndani wanalala vitanda tofauti.
 
Mimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.

Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.

nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.

nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.

sijawahi tafutwa hadi leo
We Jamaa bora ya Mnyongaji kuliko wewe, yaani unamuua Mtu Kiakili[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
 
Jamaa zangu ofisini wanapenda kunisema kila nikitoka nje hawajui naachaga simu record ikiwa on. Baadae nakaa nawasikiliza[emoji2][emoji2] hawajui kuwa nawajua ni MASNITCH TU.
😀 😀 😀 😀wee kibokoo
 
Back
Top Bottom