Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
DuhMzee Zubery ana fuvu la mtoto ndani kwake lipo kwenye ungo kalifunika Kaniki jeusi
Nilijua baada ya kufanya attempt za kumuibia sabufa yake
Niliamua niiache nikapanga vitu kama nilivyovikuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhMzee Zubery ana fuvu la mtoto ndani kwake lipo kwenye ungo kalifunika Kaniki jeusi
Nilijua baada ya kufanya attempt za kumuibia sabufa yake
Niliamua niiache nikapanga vitu kama nilivyovikuta
Wewe Jamaa n CIA wa kujitegemeaMimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.
Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.
nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.
nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.
sijawahi tafutwa hadi leo
Nilikuwa ...siku hizi ni kijana mstaarabu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we Ni kibaka period!
Kha! Hii ni kali kuliko 🤣🤣
With all due respect mkuu si kila maandishi ya kiarabu ni quran ungefuta hilo neno hapo uwe na siku njemaRafiki yangu wa damu kamloga bosi,ndani ana madude dude ya ajabu ajabu na makarstasi mekundu ya Qur'an (kiarabu) kibao kaweka chini ya kitanda
Niliona siku niliyoenda kumcheki tukaoiga Stori kisha akaenda dukani kha kitu alisahau akanipigia simu akaniambia nimwanaglizie,nikisimama chini nikakutana na hayo madudu yanachinhulia uvinguni,nikaisoma nikakuta jina la bosi wake limeandikwa mara nyingi sn Kwa maandishi mekundu..
Hajui km najua maana nilikausha maana hainihusu na umepita mwaka sasa
Ulivyoliwa Ivyo pasiwe waziKama wangu ila hapo chini hapako waz mkuu
Ww ni T-BagKuna rafiki yangu ana vijipesa kidogo anamtongizaga sana wife wangu daily kila atakapo enda hapo dukan kwake
Wife alshaniambia kuwa jamaa anamtongozaga ila yy haujui kuwa Mimi najua anamtaka mke wangu
Tunakula wote beer kiroho safi tu
Nikitaka nimle mkewe na anae shobo na mm mbaya but hana mvuto wa kimapenz
Nkamua kumaliza hasira kwa dadake tu,na mpaka Leo hajui kuwa nambanduaga Dada yake kwenye hiyo hiyo nyumba yao ya uridhi
Nilinyang'anywa usafiri wa ofisi baada ya kuhama idara ile.
Pale kazini,viliwekwa vikao vya kunisema&kunikejeli hatari.
And the chairmen were my
best friends.
Na hawakujua kama nawaona&kuwasikia.
(Sitakaa nisahau[emoji23][emoji23][emoji23])
Huu usafiri,sikuwahi kumbania mtu kabisa..sikuwa na hila&mtu.
After two weeks,nilipata usafiri wangu,kwani
kabla ya kuhama idara niliyajua hayo,hivyo nilianza mapema
kujipanga.
Sijawahi kuwaambia chochote.
Ila,sisi wabongo tunatisha
kwa unafki aisee[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mzee zuberi katisha🤣🤣🤣🤣🤣Mzee Zubery ana fuvu la mtoto ndani kwake lipo kwenye ungo kalifunika Kaniki jeusi
Nilijua baada ya kufanya attempt za kumuibia sabufa yake
Niliamua niiache nikapanga vitu kama nilivyovikuta
Dah [emoji23][emoji23]Kabisa!
Na nakwambia, kwa jinsi tunavyorogwa kwa kulishwalishwa vitu vya ajabu, tungelikuwa tuna hali mbaya sana ya kiafya.......kuanzia akili hadi mwili.
Najipa imani kuwa hawa wachawi huwa wanatutibu baadhi ya magonjwa bila wenyewe kujua;
Anakuja usiku kuuchambia mchuzi uliobakisha akiamini anakukomoa, kumbe amekupatia dawa ya tb bila kujua (maana pengine ndo dawa yenyewe).
Anakuja kukutolea mashuzi mdomoni usiku kucha akiamini anakudhuru, kumbe bila kutarajia anakupatia dawa ya tezi dume ugonjwa ambao ilibidi ukuanze siku chache tu zijazo.
Dah aiseeEnzi hizo home familia nzima tulikuwa tumetoka tumeenda kwenye sherehe nyumbani alibakia dada yangu mkubwa basi kule harusini nikamzingua bi mkubwa kuwa kichwa kinauma nataka kurudi home ila lengo langu ilikuwa niende Uwanjani kucheza mpira, sasa nafika home nakuta mlango uko wazi nikaingia taratibu kufika chumba cha sista nakuta mlango uko wazi sista anagongwa kifo cha mende na anko wetu, nilirudi nyuma taratibu nikatoka mbio kurudi kwenye sherehe, ile ilikuwa mara yangu ya kwanza kuona watu wakifanya mapenzi, sikuwahi kumwambia mtu na hawajui kama niliwaona hadi leo hii sista aliolewa ana watoto wanne na yule anko alikua anajifanyaga mkuda enzi hizo nikikosea nyumbani yeye ndio anaitwa anichape ila siku hizi huwa nakaa nae tunapiga tungi, nimepanga siku moja tukilewa nimchane nilimuona akimgonga sista.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Jamaa zangu ofisini wanapenda kunisema kila nikitoka nje hawajui naachaga simu record ikiwa on. Baadae nakaa nawasikiliza[emoji2][emoji2] hawajui kuwa nawajua ni MASNITCH TU.
AhahaaaaaMimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.
Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.
nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.
nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.
sijawahi tafutwa hadi leo
AhahaaaaaKuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.
Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
Duh aiseeMimi kuna rafiki yangu alianza kumla manzi yangu, na kumbuka tulikuwa ni ma best sana. Alikuwa ana nyanduana nae kimya kimya kumbe nilijua nikakata mawasiliano ya mahusiano (sex,care,mawasiliano) na sikumuambia yy wala manzi.
Siku jamaa ananiita kuwa manzi ana lalamika mbona na mpoteze, wakaweka kikao mi kimya wakaongea nawaangalia tu.
nikatoa pc nika copy maongezi yote nilikuwa na wafatilia (hapa kwa urahc ni kuwa wakiongea kila kitu niku nakipata, hata akipiga voda voice lazima ibaki kwangu) walio kuwa wanaongea juu yangu nikaweka kwenye flash nikaweka kwenye subfr.
nika chukua screen za msg zote na picha walizo kuwa wana tumiana na video nika 4ward kwa wote, nika play sauti ya hoofr nikasepa.
sijawahi tafutwa hadi leo
Uko nyuma during of my heyday Nilikuwa na uhusino na kabint hivi jamaaa yangu wa karibu akakataka pia, after several attempt za kunizunguka kushindikanq ili apige mbunye , kutokana na kademu kana msimamo kanajua mimi na jamaa ni marafiki ikabidi jamaa aniambie ukweli kuwa anamtaka demu wangu. Jamaa anajua vizuri hulka yangu so haikumuwia ngumu kuniambia kitu kama icho na si mara ya kwanza jamaa kuniomba mademu zangu.
Siku moja nikakaita gheto(ni kabint kadogo hakawezi nishinda maarifa na ulaghai) nikakapa ABCD kuhusu jamaa, kufupisha story nikakambia jamaa ni mtu sahihi kwake kuliko mimi kwasababu kadha wa kadha.
Kutokana kalivyokuwa kananiogopa na kunitii nikakachukua hadi gheto kwa mshikaji wakafanya yao usiku kucha na toka siku hiyo nikajitenga pembeni.. Ila kademu roho ikiwa ipo kwangu hata wanapokuwa faragha na kutokana kuwa mimi sikauki mdomoni mwake ilo jambo halikumpendeza jamaa, ikabidi jamaa amwabie demu kuwa mi natumia DOZI so kuendelea kuniwazia mimi ni kuhatarisha maisha yake. Kademu kakaja Kuniambia story nzima, nikakualiza amekuabia hivyo, WEWE UNASEMAJE ?. kakasema, mimi nilikuwa ninakuambia tu vile jamaa yako anasema kuhusu wewe,
Nikasema sina neno kuhusu anachokisema jamaa, ikiwa unahitaji uthibitisho juu ya alichokisema mwambie athibishe yeye. Kutokana na ujira niliolipwa na jamaa yangu dhidi ya kazi niliyoifanya ya kumpa demu tena binti mbichi, ikabidi niendelea kukafinya kale kademu.
Ila ni kwamba hadi leo ni mwaka wa 8 sijawai mwambia jamaa kuhusu UNAFIKI wake dhidi yangu na tunawasiliana kila uchao na tunasaidiana sana katika mambo mengi.