Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa yangu anatabia hizo sana za kudanganya kula madem afu siku nyingine anasahau anakuletea story za kufkuzia wakati alishakwambia alikula usiku kuchaUliwaona wanavyokulana?
What if jamaa ako anajipaisha
Anahatari sana....uadui wa kizazi na kizazi kati ya wanafamilia unaanzaga hivihivi maana dogo akijua ni soo. Na ulivosema anamkaza hasa nimeelewa vizuri sana 😂😂😂Kuna jamaa yangu anamtomba mke wa mdogo wake...toka nitoke. Tena huyo mdogo wake ana vihela lakin mbahili hasaidii ndugu zake. Kwahiyo jamaa ni kama ana mkomoa au anajipunguzia machungu. Na anamkaza hasa!
Hii mbinu nitaiaplyJamaa zangu ofisini wanapenda kunisema kila nikitoka nje hawajui naachaga simu record ikiwa on. Baadae nakaa nawasikiliza[emoji2][emoji2] hawajui kuwa nawajua ni MASNITCH TU.
😀😀UmetishaMpenzi wangu hajui kama mimi namuona wa kuwaida sana na hanibabaishi kwa lolote.
Atakuwa alijua na akawa anasikilizia huulizeDah[emoji25][emoji25][emoji25]hii imegusa moyo sana kuna siku nikiwa mazingira yangu hatarishi kikazi jamaa yangu sana akaniomba nikamchekie kitu sikumbuki hasa kilikua kitu gani kwenye begi lake,kufika pale nikaaanza kukitafuta ghafla bin vuu nikakutana na madonge ya Arv's dah nikarudisha fasta na jamaa hakujua kama nimekuta njugu mle
Nataka niwe shahidiKama wangu ila hapo chini hapako waz mkuu
Umejuaje?Kuna mwanamke mmoja mwalimu anaroga walimu wenzie wanapigana maofisini utendaji wake mbovu lkn anaringia ukongwe kafunika mahirizi mengi ardhi yote ya shule
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.
Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
Dah.....mbona unafeli kirahisi....usipaniki.....rejea kichwa Cha Uzi 🤣🤣🤣🤣🤣Hata wakimchukia inasaidia nini sasa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we Ni kibaka period!Mzee Zubery ana fuvu la mtoto ndani kwake lipo kwenye ungo kalifunika Kaniki jeusi
Nilijua baada ya kufanya attempt za kumuibia sabufa yake
Niliamua niiache nikapanga vitu kama nilivyovikuta
Labda boss kawabana safari za kupiga shoo mikoaniKuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.
Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
Jamaa mmbeya wewe cjapata kuonaNakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu yake imeingia meseji, twilili, nikasikia anafungua mlango taratibu akatoka chumbani kwake na kuingia chumba cha huyo mpangaji, nikawa tu nahisi.
Ila ghafla kuna mtu akawa anamuita maana ilikuwa bado mapema nikasikia anatoka haraka kwa kunyata alipofika chumbani kwake akaitika
Ila mchezo uliendeleaga mpaka mkewe aliporudi
Mmmngh!Kama wangu ila hapo chini hapako waz mkuu
Aiseee, Nakusikitikia sana dada yangu. Yaani picha imeokotwa nawe from nowhere unakuja na kufananisha na maumbile yako. Aiseeee, mbona kuna wasichana wengi humu JF hawajajifananisha na maumbile yako. Samahani unasema na kufuata fuata ila nakushauri kwani naona haupo sawa kiakili, kimaadili na kiimani. Unajitokeza tu na kusema "kama wangu ila hapo chini kwangu kumeziba" nani kakuuliza? Nani kataka ujifananishe na hiyo picha ya mawe? Mungu akusaidie kwa kweli.Kama wangu ila hapo chini hapako waz mkuu
Nice oneNa haitokuja tokea kujidharirisha