Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Kitu gani unakijua kwa mtu wako wa karibu huku yeye akiamini hujui?

Kuna jamaa yangu anamtomba mke wa mdogo wake...toka nitoke. Tena huyo mdogo wake ana vihela lakin mbahili hasaidii ndugu zake. Kwahiyo jamaa ni kama ana mkomoa au anajipunguzia machungu. Na anamkaza hasa!
Anahatari sana....uadui wa kizazi na kizazi kati ya wanafamilia unaanzaga hivihivi maana dogo akijua ni soo. Na ulivosema anamkaza hasa nimeelewa vizuri sana 😂😂😂
 
Dah[emoji25][emoji25][emoji25]hii imegusa moyo sana kuna siku nikiwa mazingira yangu hatarishi kikazi jamaa yangu sana akaniomba nikamchekie kitu sikumbuki hasa kilikua kitu gani kwenye begi lake,kufika pale nikaaanza kukitafuta ghafla bin vuu nikakutana na madonge ya Arv's dah nikarudisha fasta na jamaa hakujua kama nimekuta njugu mle
Atakuwa alijua na akawa anasikilizia huulize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.

Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna rafiki yangu ana vijipesa kidogo anamtongizaga sana wife wangu daily kila atakapo enda hapo dukan kwake

Wife alshaniambia kuwa jamaa anamtongozaga ila yy haujui kuwa Mimi najua anamtaka mke wangu

Tunakula wote beer kiroho safi tu

Nikitaka nimle mkewe na anae shobo na mm mbaya but hana mvuto wa kimapenz

Nkamua kumaliza hasira kwa dadake tu,na mpaka Leo hajui kuwa nambanduaga Dada yake kwenye hiyo hiyo nyumba yao ya uridhi
 
Kuna jamaa mtaani watu alikuwa wanamuogopa kutokana na uvaji wake kama vile yuko kitengo. Alikuwa kama kibosi mixer kiusalama. Sasa siku nikawa naenda bar flan ipo gomzi pana bendi, ilikuwa naenda jioni nikifika namuona anakata mauno. Kumbe ndo kazi yake ila mtaani hataki watu wajue.
Basi siku asubuhi duka flan kaja na mimi nilikuwepo maada ilikuwa ina husu magu akawa ana changia akawa anasema kuwa mwenye kazini maboss wanawabana safari zimepungua.

Sasa wakati wa kusepa tukaongozana nikamuuliza akasema yuko sekta flani. Nika mchana kuhusu bendi jamaa akaishiwa pozi kawa anacheka akasema nikaushe ndo swaga zinazo mweka mjini.
Labda boss kawabana safari za kupiga shoo mikoani
 
Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana mimi ninapolala napakana na chumba chake na mkewe, na havina ceiling board, basi nikasikia mlango simu yake imeingia meseji, twilili, nikasikia anafungua mlango taratibu akatoka chumbani kwake na kuingia chumba cha huyo mpangaji, nikawa tu nahisi.

Ila ghafla kuna mtu akawa anamuita maana ilikuwa bado mapema nikasikia anatoka haraka kwa kunyata alipofika chumbani kwake akaitika

Ila mchezo uliendeleaga mpaka mkewe aliporudi
Jamaa mmbeya wewe cjapata kuona
 
Kama wangu ila hapo chini hapako waz mkuu
Aiseee, Nakusikitikia sana dada yangu. Yaani picha imeokotwa nawe from nowhere unakuja na kufananisha na maumbile yako. Aiseeee, mbona kuna wasichana wengi humu JF hawajajifananisha na maumbile yako. Samahani unasema na kufuata fuata ila nakushauri kwani naona haupo sawa kiakili, kimaadili na kiimani. Unajitokeza tu na kusema "kama wangu ila hapo chini kwangu kumeziba" nani kakuuliza? Nani kataka ujifananishe na hiyo picha ya mawe? Mungu akusaidie kwa kweli.
 
Back
Top Bottom