Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Okay
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%. Naamini hizi posts zimemfunza kitu. Apambane sana sana kwa biashara nk, afanye kitu fulani cha maendeleo na cha kuonekana. Naamini anaweza kabisa. Au vitabu sio lazima vya aina hii. J. K. Rowling aliyeandika vitabu vya Harry Potter amekuwa mwandishi mkubwa sana na wa mafanikio makubwa sana duniani. Kama ni mwandishi mzuri, anaweza hamishia nguvu yake kwa uandishi wa namna nyingine na akatoboa vizuri. Juzi tu mzaliwa wa Tanzania (Zanzibar) ameshinda Nobel prize ya uandishi (literature) ambayo wanapewa usd 250,000 cash ukishinda. Kwa hio yote hapa ni kuelimishana. Lugha inaweza kuwa kali ili mtu azingatie kabisa. Hivi vitabu vya mafanikio vinapotosha wengi sababu vinaandikwa na watu wasiojua hata siri hizo. Ni watu wasanii wanaotafuta hela. Na mjasiriamali kama mimi inaniudhi sana kuona watu wanaopambania maisha wakipotoshwa namna hii.Sema nini mkuu, keep writing bro kupigwa vita ni kawaida.
Hakuna vita mkuu. Ni kuelimishana tu. Lakini kama kuna mtu anayetaka vita, ailete tu!! Na kumpiga tutampiga haswaa.Ngoja nikae nione hii vita itaishia wapi
Nimeshindwa kusoma comments zote, ila Nina wazo kwako, naogopa watu wanafamywa fursa wakati wakitafuta fursa. Mwanzo wako ulikuwa mzuri, ila kama ulikuwa na nia njema, ungetoa summary ambayo ingekuwa kama chambo. Mbona kuna watu wanatoaga simulizi mpaka watu wanawaomba watoe kitabu! Wewe umekuja kama unataka kuwageuza watu fursa wakati nao wanatafuta fursa.Karibuni kupata kitabu,
Kinakupa mwongozo sahihi wa kuishi maisha ya kweli kwako badala ya kuiga maisha ya wengine.
Na eneo la kwanza kuwa mkweli kwako ni kwenye maana ya mafanikio.
Wengi wanahangaika na maana za mafanikio ambazo siyo zao, mwisho hata wakifikia hayo wanayoambiwa ni mafanikio, bado ndani yao wanajiona watupu.
Usiendelee kupoteza muda na maisha yako kwa kuhangaika na maana ya mafanikio isiyo sahihi kwako.
Pata leo kitabu cha MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO ili ujue maana sahihi ya mafanikio kwako na uifanyie kazi.
Wasiliana na 0752 977 170 kupata kitabu chako leo.
Mkuu the Nobel prize winner wa sasa hivi does not deserve it. Anyway uko sahihi kwa mengi. Ila kama wataka more info kuhusu yeye naweza kushare hapa hapa. Sorry for my Swanglishi.100%. Naamini hizi posts zimemfunza kitu. Apambane sana sana kwa biashara nk, afanye kitu fulani cha maendeleo na cha kuonekana. Naamini anaweza kabisa. Au vitabu sio lazima vya aina hii. J. K. Rowling aliyeandika vitabu vya Harry Potter amekuwa mwandishi mkubwa sana na wa mafanikio makubwa sana duniani. Kama ni mwandishi mzuri, anaweza hamishia nguvu yake kwa uandishi wa namna nyingine na akatoboa vizuri. Juzi tu mzaliwa wa Tanzania (Zanzibar) ameshinda Nobel prize ya uandishi (literature) ambayo wanapewa usd 250,000 cash ukishinda. Kwa hio yote hapa ni kuelimishana. Lugha inaweza kuwa kali ili mtu azingatie kabisa. Hivi vitabu vya mafanikio vinapotosha wengi sababu vinaandikwa na watu wasiojua hata siri hizo. Ni watu wasanii wanaotafuta hela. Na mjasiriamali kama mimi inaniudhi sana kuona watu wanaopambania maisha wakipotoshwa namna hii.
🤣🤣🤣Ukute upo kwa mama yako umejilza miguu imepauka unasubiri kula,hakuna mmiliki wa gari yenye c.c 4000 ,mwenye akili ndogo na tambo kama zako
Mkuu,100%. Naamini hizi posts zimemfunza kitu. Apambane sana sana kwa biashara nk, afanye kitu fulani cha maendeleo na cha kuonekana. Naamini anaweza kabisa. Au vitabu sio lazima vya aina hii. J. K. Rowling aliyeandika vitabu vya Harry Potter amekuwa mwandishi mkubwa sana na wa mafanikio makubwa sana duniani. Kama ni mwandishi mzuri, anaweza hamishia nguvu yake kwa uandishi wa namna nyingine na akatoboa vizuri. Juzi tu mzaliwa wa Tanzania (Zanzibar) ameshinda Nobel prize ya uandishi (literature) ambayo wanapewa usd 250,000 cash ukishinda. Kwa hio yote hapa ni kuelimishana. Lugha inaweza kuwa kali ili mtu azingatie kabisa. Hivi vitabu vya mafanikio vinapotosha wengi sababu vinaandikwa na watu wasiojua hata siri hizo. Ni watu wasanii wanaotafuta hela. Na mjasiriamali kama mimi inaniudhi sana kuona watu wanaopambania maisha wakipotoshwa namna hii.
Huenda ndiyo umesoma andiko hili pekee mkuu, pitia maandiko yangu ya nyuma, utaona hicho ulichoshauri ndiyo nafanya.Nimeshindwa kusoma comments zote, ila Nina wazo kwako, naogopa watu wanafamywa fursa wakati wakitafuta fursa. Mwanzo wako ulikuwa mzuri, ila kama ulikuwa na nia njema, ungetoa summary ambayo ingekuwa kama chambo. Mbona kuna watu wanatoaga simulizi mpaka watu wanawaomba watoe kitabu! Wewe umekuja kama unataka kuwageuza watu fursa wakati nao wanatafuta fursa.
Hapa ndipo watanzania tunajichekeshaga na huu ujuaji wetu.Mkuu the Nobel prize winner wa sasa hivi does not deserve it. Anyway uko sahihi kwa mengi. Ila kama wataka more info kuhusu yeye naweza kushare hapa hapa. Sorry for my Swanglishi.