Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna.

Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala wanapenda madaraka.

Ni wazi sasa watanzania mnawezwa kufanywa chochote watakavyo sababu muwezi kupambana nao.
 
Mimi ninavyofahamu. Mwanafunzi akiwa na njaa sana anasikiliza na kuelewa na kuchukua hatua kwa kile alichoamrishwa kukifanya. Lakini hicho kitu hakidimu au kinaondoka akishashiba.
 
Mimi ninavyofahamu. Mwanafunzi akiwa na njaa sana anasikiliza na kuelewa na kuchukua hatua kwa kile alichoamrishwa kukifanya. Lakini hicho kitu hakidimu au kinaondoka akishashiba.
Wenye njaa unasema wananchi wa USA,Urusi, mexico,braxil,south na Nchi za ulaya nimekwenda mbali kuna nchi kama afghan na kuna moja wanatengeneza mpaka silahaa zao wenyewe kujiami na jamii
 
Ni suala la muda,
sehemu yenye ukandamizaji na uonevu wa hivi, kuna wakati utafika kikomo.
 
Back
Top Bottom