Kitu Perfume. . . .

Kitu Perfume. . . .

Kikwapa orginal ndiyo mpango mzima, hizo mbwembwe za kupaka perfume wakati si wote wenye uwezo wa kununua. Unakuta mume/mke wanatoka na vidumu visivyojua kupaka hata jua kali.

Mambo mengine mnafanya kwa sababu mna hela siyo kwamba eti bila hiyo hakuna mvuto kwenye mapenzi.
 
Mi nilinunua moja inaitwa HorseNice ni nzuri sana jaribu kuitafuta madukani. Si tunaoishi HorseCity huwa tunaitumia sana. Ubaya ni kuwa imeandikwa kwa HorseLanguage unaweza shindwa kuelewa maandishi yake.

thank you for your HorseComments!
 
Mmeishia kutaja perfume na wengine wetu tumejua mnazo
Sasa je zina umuhimu gani kwenye maisha yenu na wapenzi wenu
msiishie kutaja tuu
Wengine hawapendi hata harufu ya perfume ile ya kawaida ya mwili tuu inatosha
 
-midnight poison by christian dior
-ghost
-dreamer by versace
-mtogole scent!inapatikana pale tandale!just joking
 
perfume gani ni nzuri kwa sisi wakaka..

PACCO RABANE kichupa kwa tsh one million Tsh (1m.) Nenda pale junction ya Mosque/Market street opp IM Bank utakipata hicho kichupa. Usiniulize zaidi maana na mimi nilikitizama tu na kuondoka.
 
PACCO RABANE kichupa kwa tsh one million Tsh (1m.) Nenda pale junction ya Mosque/Market street opp IM Bank utakipata hicho kichupa. Usiniulize zaidi maana na mimi nilikitizama tu na kuondoka.

Kwenye kuuliza tuu
Bei yake ni Im au umeandika tuu
Maana naitumia na bei yake ni ya kawaida sana
 
kuna mtu anaifahamu EVERYONE?hii ni unisex!naitafuta!hofu yangu huenda feki zake zitakuwa zimeanza kuingia!by the time nanunua ilikuwa kitu adimu kupata!
 
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...

1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren

mwisho wa matatizo
 
PACCO RABANE kichupa kwa tsh one million Tsh (1m.) Nenda pale junction ya Mosque/Market street opp IM Bank utakipata hicho kichupa. Usiniulize zaidi maana na mimi nilikitizama tu na kuondoka.

mkuu!kasome tena ni jina lake au ni bei!
 
Kwenye kuuliza tuu
Bei yake ni Im au umeandika tuu
Maana naitumia na bei yake ni ya kawaida sana

Siandiki tu. Nenda mwenyewe ukahakikishe. Na mimi ni mtumiaji wa pacco rabanne na ndiyo maana nikakumbana na hilo nililoliona
 
Nimeweka like kwa kimobitel, ntakamilisha nkipata PC, I like ths

nilikuwa najaribu kukuelewesha wewe na mr rocky mmuelewe horsepower anamaanisha nini!nilijua mkisoma comment yangu mtaelewa akili yake!pamoja mkuu
 
Kwa wale wanawake wenye aibu ya kuanzisha we make sure umepiga maji mwilini upo safi. . Weka ka 9t dress kako laini ka pink au blue (I lyk the colors), kisha 2pia kaperfume kako ka ukweli! Hakikisha na nywele umeosha maana kuna wanawake wengne! Uwe na uhakika Mr hakuwa na shughuli nyingi mchana, halafu mkaribishe kwenye nyumba yenu ya 6 kwa 6! Ul tel me. . . .
 
Siandiki tu. Nenda mwenyewe ukahakikishe. Na mimi ni mtumiaji wa pacco rabanne na ndiyo maana nikakumbana na hilo nililoliona

Mkuu hilo ni jina inaitwa 1 Million na sio bei yake
Natumia na ndio perfume yangu mkuu haina hiyo bei aise
 
kalabash!kwa hiyo unayotumia umenunua 1m?au ulivyoona 1m ktk duka hilo ukatoka nduki?

Hela ya EPA ilinipiga chenga ndiyo maana nilitoka nduki. Nielekeze unakopatia hiyo ya bei ya kawaida maana imeniishia. Huwa nanunua nikipata safari ya nje.
 
Hela ya EPA ilinipiga chenga ndiyo maana nilitoka nduki. Nielekeze unakopatia hiyo ya bei ya kawaida maana imeniishia. Huwa nanunua nikipata safari ya nje.

Zipo tuu mkuu bei ya kawaida ila original one
Just a name 1million Pacco ila bei isikutishe
Just PM mkuu nitakuambia
 
Back
Top Bottom