Najaribu kukuelewa kwa shida!
Mi nimejaribu kuconnect dots nimeshindwa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kukuelewa kwa shida!
Mi nilinunua moja inaitwa HorseNice ni nzuri sana jaribu kuitafuta madukani. Si tunaoishi HorseCity huwa tunaitumia sana. Ubaya ni kuwa imeandikwa kwa HorseLanguage unaweza shindwa kuelewa maandishi yake.
Inaeleweka inaleta mvuto wa kimapenzi, kwani kuna lingine, na wewe taja basi perfumes nzuri sio lazima uwe nazo, wakati mwingine umemsikia mtu tu au ulitumia zamani
perfume gani ni nzuri kwa sisi wakaka..
PACCO RABANE kichupa kwa tsh one million Tsh (1m.) Nenda pale junction ya Mosque/Market street opp IM Bank utakipata hicho kichupa. Usiniulize zaidi maana na mimi nilikitizama tu na kuondoka.
Kwa mwanaume haupaswi kukosa perfume moja kati ya hizi zifuatazo...
1. Aqua Di Gio - Giorgio Armani
2. Le Male - Jean Paul Gaultier
3. Dolce & Gabbana - D&G
4. Obsession For Men - Calvin Klein
5. 1 Million By Paco Rabanne
6. PI- Givenchy
7. 212 Carolina Herrera New York
8. Eternity - Calvin Klein
9. Polo By Ralph Lauren
10. Polo Black - Ralph Lauren
PACCO RABANE kichupa kwa tsh one million Tsh (1m.) Nenda pale junction ya Mosque/Market street opp IM Bank utakipata hicho kichupa. Usiniulize zaidi maana na mimi nilikitizama tu na kuondoka.
Kwenye kuuliza tuu
Bei yake ni Im au umeandika tuu
Maana naitumia na bei yake ni ya kawaida sana
Nimeweka like kwa kimobitel, ntakamilisha nkipata PC, I like ths
Siandiki tu. Nenda mwenyewe ukahakikishe. Na mimi ni mtumiaji wa pacco rabanne na ndiyo maana nikakumbana na hilo nililoliona
Siandiki tu. Nenda mwenyewe ukahakikishe. Na mimi ni mtumiaji wa pacco rabanne na ndiyo maana nikakumbana na hilo nililoliona
kalabash!kwa hiyo unayotumia umenunua 1m?au ulivyoona 1m ktk duka hilo ukatoka nduki?
Hela ya EPA ilinipiga chenga ndiyo maana nilitoka nduki. Nielekeze unakopatia hiyo ya bei ya kawaida maana imeniishia. Huwa nanunua nikipata safari ya nje.