Kitu unahisi unakifanya tofauti na wengi wanavyokifanya?

Binafsi mimi huwa sitakagi mazoea na majirani au watu ambao nafanya nao kazi hakuna kingine zaidi ya salamu, naonaga ukiweka mazoea na hawa watu ndiyo mwanzo wa umbea na kadhalika kwahiyo mimi nina kuaga kauzu sitaki mazoea ya hovyo hii inanisaidiaga
 
Hii noma nimeikubali ila changamoto yake ni pale unapopatwa tatizo linalohitaji msaada wa haraka(first aid ya kimaisha)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…