Kitu unahisi unakifanya tofauti na wengi wanavyokifanya?

Kitu unahisi unakifanya tofauti na wengi wanavyokifanya?

Mnaosema nyeto la kike linaharibu uke kwani huwa mnafanyaje?
Pale pa dudu si hatugusi tunagusa kisimi tu au mi ndiyo sijui.

Ila nimeacha, maana hamkawii.. kamdomo kamdomo kamdomo 🙄
Hapo hapo kwenye kism ndio mnapoharibu antenna, dishi linakua halikamati mawimbi vizuri
 
Mimi na tabia ya kusema "Ahsante" kila ninaponunua kitu dukani/popote...
Nadhani watu wengi hawafanyi hivyo!
Hii ya kusema ahsante wengi wanayo mimi nikiwa mmoja wapo sometimes najiuliza hivi kwanini niseme ahsante wakati hela kapata yeye ila inanijia tu natural nimenunua kitu ahsante nimetoka kusuka ahsante nimerudishiwa kitu changu mwenyewe nilichoazimisha ahsante
 
unastahili kuwa Queen kabisa! Enhe tabia gani unayo/kitu gani unafanya unahisi wengi hawakifanyi
 
Nafanya mazungumzo mwenyewe kichwani kama naongea na mtu muda wote kasoro tu ninapokuwa nimelala
 
Back
Top Bottom