Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
🤣🤣🤣🤣 Tena wewe ndiyo kero yangu jfUnajizimaga data ila hukawi kuchukia...hahaha
🤣🤣🤣🤣 Tena wewe ndiyo kero yangu jfUnajizimaga data ila hukawi kuchukia...hahaha
Kitu gani unahisi nakifanya tofuati na wengi wanavyokifanya kwako? mpaka kupelekea kua kero yako...🤣🤣🤣🤣 Tena wewe ndiyo kero yangu jf
Mimi nasema Asante kwa Kila kitu.Tupo wengi, maana hata nikitoa kitu akishukuru namshukuru pia
Uwepo wako tu🤨Kitu gani unahisi nakifanya tofuati na wengi wanavyokifanya kwako? mpaka kupelekea kua kero yako...
Barikiwa sanaMimi nasema Asante kwa Kila kitu.
Nikimpa mtu kitu, naye akanishukuru
Na Mimi namwambia "Asante Kushukuru"
Ukiona uwepo wangu unakukera basi unanipenda...Uwepo wako tu🤨
Sana😓Ukiona uwepo wangu unakukera basi unanipenda...
AsanteBarikiwa sana
Amina...nakupataje sasa?Asante
Tubarikiwe sote!
Baraka za Kristo Yesu ziwe halisi kwako
You are deep in love...Sana😓
So indeep....You are deep in love...
Njoo PM 😂Amina...nakupataje sasa?
Uwe mvumilivu... Mambo mazuri hayakosi maumivu ndani yake...So indeep....
Mbona kama kimaksudi ...unavumilia bahati mbaya...maksudi kabisa???????Uwe mvumilivu... Mambo mazuri hayakosi maumivu ndani yake...
Kila jambo lina kusudio lake... halipo kama lilivyo kwa bahati mbaya...Mbona kama kimaksudi ...unavumilia bahati mbaya...maksudi kabisa???????
Watu si watajua unanza kuwehuka, maana midomo wataona inaongea ila peke yako😀😀😀We noma mkuu, me hutembea nikijiongelesha au kujisimulia, au kujiuliza kwa low voice kifupi nafanya monologue