Kituko cha John Mrema: Adai Kuwa Kwenye Nakala ya Waraka Rasmi wa Chadema Aliyo Nayo Maneno "No Election" Hayamaanishi "Hakuna Uchaguzi"

Kituko cha John Mrema: Adai Kuwa Kwenye Nakala ya Waraka Rasmi wa Chadema Aliyo Nayo Maneno "No Election" Hayamaanishi "Hakuna Uchaguzi"

Doctor Mama Amon

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
2,311
Reaction score
3,513
1744042960972.png

John Mrema​

Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma.

Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka rasmi wa Chadema alio nao maneno NO ELECTION hayamaanishi HAKUNA UCHAGUZI.

Anachomaanisha ni kwamba wanapinga tafsiri ya Mwenyekiti Lissu bila kupinga msimako wa chadema.

Hivyo, mkakati ni kumtia hatiani Lissu na timu yake ya uongozi mpya. Kwamba hawa wamechakachua nyaraka za chama.

Lakini kuna tatizo mahali. Anaongelea andiko la mkakati wa uchaguI wa 2020 lililoandaliwa January mwaka huo.

Lakini Lisu anaongelea mkakati wa Chadema wa mwaka 2024 uliopitishwa na Mkutano Mkuu, Baraza Kuu na Kamati Kuu.

Naona anachanganya maembe na machungwa.

Hatari!
 
Nimemshangaa Sana Mrema. Halafu haijulikani hoja yao ni ipo. Mara wanataka kugombea , mara wanataka mahesabu ya tone tone na mara maria Sarungi ana share CHADEMA.
 
John Mrema kumbe ni kiazi namna hii,huyu ni mmojawapo wa watu walioidumaza Chadema hela ya pombe imekata sasa anabweka ovyo kama ana kichaa cha mbwa.
 
Nimemshangaa Sana Mrema. Halafu haijulikani hoja yao ni ipo. Mara wanataka kugombea , mara wanataka mahesabu ya tone tone na mara maria Sarungi ana share CHADEMA.

Ajenda ya hawa timu Mbowe ni kumwangusha Lissu. Katibu wa Jimbo langu kanipigia. Wanapiga simu nchi nzima wakitafuta signature za petition ya kumwondoa Lissu
 
Ajenda ya hawa timu Mbowe ni kumwangusha Lissu. Katibu wa Jimbo langu kanipigia. Wanapiga simu nchi nzima wakitafuta signature za petition ya kumwondoa Lissu
Wamebugi, hatuwezi kurudi nyuma kwenye uongozi wa wajinga...tumeshavuka huko!
 
Back
Top Bottom