Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya jamii ya Watanzania ambao watoto wao wanaathirika na ukosefu mkubwa wa ajira.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya wanajamii wa Tanzania ambao hawapati huduma bora na madawa hospitali.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu wa Jamii ya Watanzania ambao wanakosa barabara nzuri na imara, muondombinu ya uhakika ya shule na maji masuala yanayotokana na Viongozi wa CCM kufisadi pesa za Umma kwa faida zao na watoto wao.
Bado wanatumika kuipambania CCM ibaki madarakani ili wakaongee haya bungeni;
View attachment 3364625View attachment 3364626
Watanzania, ili tupate ukombozi wa kweli tupambane sana na No Reforms No Election.