Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
- #41
Wao hawajali hilo. Wanaona sawa tu iki mradi wanatakata kwa pesa zetu za kodi.Huyo msukuma ule ni mdomo au sehemu ya kutolea haja kubwa
Wao hawajali hilo. Wanaona sawa tu iki mradi wanatakata kwa pesa zetu za kodi.Huyo msukuma ule ni mdomo au sehemu ya kutolea haja kubwa
Ikiwa kama serikali haisaidii kulea, serikali hiyo haina uhalali wa kueepo madarakani.Kama unazaa ili Serikali ikusaidie kuwa, basi usizae usubiri Chadema iingie madarakani mwaka 7597 ili Serikali ya Chadema ikusaidie kulea.
Kwani umesahau hitaji la kuwa mbunge ni lipi!? KielimuWakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya jamii ya Watanzania ambao watoto wao wanaathirika na ukosefu mkubwa wa ajira.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya wanajamii wa Tanzania ambao hawapati huduma bora na madawa hospitali.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu wa Jamii ya Watanzania ambao wanakosa barabara nzuri na imara, muondombinu ya uhakika ya shule na maji masuala yanayotokana na Viongozi wa CCM kufisadi pesa za Umma kwa faida zao na watoto wao.
Bado wanatumika kuipambania CCM ibaki madarakani ili wakaongee haya bungeni;
View attachment 3364625View attachment 3364626
Watanzania, ili tupate ukombozi wa kweli tupambane sana na No Reforms No Election.
Kwa hiyo wao wanawapigania waendelee kutawala ili bungeni waende makanjanja wanaopigania maslahi binafsi na ya wake zao?Kwani umesahau hitaji la kuwa mbunge ni lipi!? Kielimu
Mtoto wangu wa kwanza yupo Ardhi University na hana MKOPO. Wa pili yupo High School private. Wa tatu Binti yangu yupo O Level na wa mwisho anamaliza Msingi mwaka huu. Hapo nimetaja wale watu wanawajuaga! Ahahahahaha!!!Ikiwa kama serikali haisaidii kulea, serikali hiyo haina uhalali wa kueepo madarakani.
Kwa kuwa wewe ni mMoto wa Shule, utaelewa mada hizi siku ukikuwa na kuwa mkuu wa kaya; kisha uwaanbie watoto na wategemezi wengine huu upuuzi.
Basi huwezi kuelew shida za Wananchi wa hili Taifa. Endelea kulamba asaliMtoto wangu wa kwanza yupo Ardhi University na hana MKOPO. Wa pili yupo High School private. Wa tatu Binti yangu yupo O Level na wa mwisho anamaliza Msingi mwaka huu. Hapo nimetaja wale watu wanawajuaga! Ahahahahaha!!!
Kiukweli, I don't care about your family!Basi huwezi kuelew shida za Wananchi wa hili Taifa. Endelea kulamba asali
Hongera sana mkuu lakin ujue wew ni mtanzania but mtanzania sio wew na hapa tunazungumzia mtanzania.Mtoto wangu wa kwanza yupo Ardhi University na hana MKOPO. Wa pili yupo High School private. Wa tatu Binti yangu yupo O Level na wa mwisho anamaliza Msingi mwaka huu. Hapo nimetaja wale watu wanawajuaga! Ahahahahaha!!!