Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
- Thread starter
-
- #21
Yaaani No Reform No Election ni jambo la msingi sana. Hii nchi imefeli na kuanguka tukiwa tunaiona kwa kuendekeza upuuzi.Hahaha π π dah! Tuipambanie kweli tusiogope No Reforms No Election
Hakuna mbwa kama wewe, Heche, Lissu, Erythrocyte anayeweza kuleta mageuzi au mapinduzi nchi hii. HAKUNA!!!Endeleeni tu na dharau zenu. Muda unakuja mttajuta kuongea huu upuuzi
Ila nyie jamaa mnstudharau sana Watanzania kwa hiyo TISS, JWTZ na Polisi wanawapambania mkae madarakani ili muongee hayo bungeni?Hakuna mbwa kama wewe, Heche, Lissu, Erythrocyte anayeweza kuleta mageuzi au mapinduzi nchi hii. HAKUNA!!!
Ndio tumemshinda. Unasemaje Sasa?Ila nyie jamaa mnstudharau sana Watanzania kwa hiyo TISS, JWTZ na Polisi wanawapambania mkae madarakani ili muongee hayo bungeni?
Daaah nyie jamaa nadhani hadi shetani mmemshinda
Sawa basi tunamuachia Mungu anajua atawafanyajeNdio tumemshinda. Unasemaje Sasa?
That's the point!Sawa basi tunamuachia Mungu anajua atawafanyaje
Mwamba huwa ninakubali sana, una hoja zenye mashiko! Tufanye jitahada ya kuonana hata siku moja tugonge glass aisee. Kuna maisha baada ya Jf.Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya jamii ya Watanzania ambao watoto wao wanaathirika na ukosefu mkubwa wa ajira.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya wanajamii wa Tanzania ambao hawapati huduma bora na madawa hospitali.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu wa Jamii ya Watanzania ambao wanakosa barabara nzuri na imara, muondombinu ya uhakika ya shule na maji masuala yanayotokana na Viongozi wa CCM kufisadi pesa za Umma kwa faida zao na watoto wao.
Bado wanatumika kuipambania CCM ibaki madarakani ili wakaongee haya bungeni;
View attachment 3364625View attachment 3364626
Watanzania, ili tupate ukombozi wa kweli tupambane sana na No Reforms No Election.

Tukipata Katiba Mpya tutakuja na Verified ID humu. Saivi acha tuishi anonymous tu.Mwamba huwa ninakubali sana, una hoja zenye mashiko! Tufanye jitahada ya kuonana hata siku moja tugonge glass aisee. Kuna maisha baada ya Jf.
Lipo. Saivi ni mwendo wa kujitengenezea ulaji tu wao na familia zao. Nyie wananchi mtajijuaBunge bado lipo?
wee umeruhusiwa kusafiri? akina Lema wamenyang'anywa passport bodaLast week nilikuwa Pretoria, kiukweli Bongo imedharauliwa mno!
Upo sahihi kaka. Nchi imetapakaa chawa hadi inatia kinyaa. But, so far so good, mimi nina imani ukombozi haupo mbali, hawa kima wa kijani na misukule yao wametufanya watanzania wote tuonekane vilaza katika jumuiya za kimataifa. Bungeni wanaongea ugolo tu wakiongozwa na yule ajuza wao Tulia, hovyo kabisa!Tukipata Katiba Mpya tutakuja na Verified ID humu. Saivi acha tuishi anonymous tu.
Hawa wapuuzi hawachelewi kukuwekea mitego kukuteka, kukufira na kukupoteza mazima.
AaaaiiseeLipo. Saivi ni mwendo wa kujitengenezea ulaji tu wao na familia zao. Nyie wananchi mtajijua
Ponjoro anajiona yeye ndio Mtanzania halisi kuliko Watanzania wengine!Ponjoro na kenge wanataka utambulisho rasmi! Vibweka haviishi Tanzania.
Ponjoro anataka Apewe Plate namba maalum ili asiwe anakaa foleni badala ya kushauri mkakati wa kupunguza foleni kwenye jimbo lakeπWakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya jamii ya Watanzania ambao watoto wao wanaathirika na ukosefu mkubwa wa ajira.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu ya wanajamii wa Tanzania ambao hawapati huduma bora na madawa hospitali.
Wakati Watumishi wa vyombo vya dola wakiwa sehemu wa Jamii ya Watanzania ambao wanakosa barabara nzuri na imara, muondombinu ya uhakika ya shule na maji masuala yanayotokana na Viongozi wa CCM kufisadi pesa za Umma kwa faida zao na watoto wao.
Bado wanatumika kuipambania CCM ibaki madarakani ili wakaongee haya bungeni;
View attachment 3364625View attachment 3364626
Watanzania, ili tupate ukombozi wa kweli tupambane sana na No Reforms No Election.
Mimi siyo kiongozi wa Chademawee umeruhusiwa kusafiri? akina Lema wamenyang'anywa passport boda
Walianza kuwapa pensheni na posho ya kila mwezi wake wa Viongozi, wamekuja na wake zao kuwa treated kama VIP na kuomba special plate no wasikae kwenye foleniPonjoro anataka Apewe Plate namba maalum ili asiwe anakaa foleni badala ya kushauri mkakati wa kupunguza foleni kwenye jimbo lakeπ