Kituko cha Karne: Vyombo vya dola vinaipambania CCM iendelee Kutawala ili Bungeni wajadili haya

Kama unazaa ili Serikali ikusaidie kuwa, basi usizae usubiri Chadema iingie madarakani mwaka 7597 ili Serikali ya Chadema ikusaidie kulea.
Ikiwa kama serikali haisaidii kulea, serikali hiyo haina uhalali wa kueepo madarakani.

Kwa kuwa wewe ni mMoto wa Shule, utaelewa mada hizi siku ukikuwa na kuwa mkuu wa kaya; kisha uwaanbie watoto na wategemezi wengine huu upuuzi.
 
Kwani umesahau hitaji la kuwa mbunge ni lipi!? Kielimu
 
Kwani umesahau hitaji la kuwa mbunge ni lipi!? Kielimu
Kwa hiyo wao wanawapigania waendelee kutawala ili bungeni waende makanjanja wanaopigania maslahi binafsi na ya wake zao?
 
Ikiwa kama serikali haisaidii kulea, serikali hiyo haina uhalali wa kueepo madarakani.

Kwa kuwa wewe ni mMoto wa Shule, utaelewa mada hizi siku ukikuwa na kuwa mkuu wa kaya; kisha uwaanbie watoto na wategemezi wengine huu upuuzi.
Mtoto wangu wa kwanza yupo Ardhi University na hana MKOPO. Wa pili yupo High School private. Wa tatu Binti yangu yupo O Level na wa mwisho anamaliza Msingi mwaka huu. Hapo nimetaja wale watu wanawajuaga! Ahahahahaha!!!
 
Basi huwezi kuelew shida za Wananchi wa hili Taifa. Endelea kulamba asali
 
Wateuliwa wanapambania matumbo yao, watakula wapi CCM wakiondoka?
 
Sasa mkuu unataka wawasamee wananchi kwa lipi? Kwani kura za wananchi ndo ziliwapeleka bungeni?.

Wabunge wakosahihi kuipigania serikali na maslahi yao binafsi, maana wanajua waliingiaje bungen.

Fikiria wabunge wote waliojarbu/wanaojarbu kuwatetea wananchi kwa dhati hao huitwa wasaliti, yes! wanawasaliti waliowaweka bungeni.

Kwahyo tuwaache waendelee kupambania serikali, wake, waume, watoto na magari yao.

Fungu la raia ni kusifu na kushukuru kwa kuruhusiwa kupumua, kujamba, kunya bure na kuachwa hai(kusalimika kutekwa) na sio kuuliza haki zingine hizo usemazo mkuu huo ni uhain kabsaa.
 
Mtoto wangu wa kwanza yupo Ardhi University na hana MKOPO. Wa pili yupo High School private. Wa tatu Binti yangu yupo O Level na wa mwisho anamaliza Msingi mwaka huu. Hapo nimetaja wale watu wanawajuaga! Ahahahahaha!!!
Hongera sana mkuu lakin ujue wew ni mtanzania but mtanzania sio wew na hapa tunazungumzia mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…