Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

Mchaga kupata ardhi popote ni héla yake kwani anavamia? Hata wewe ukiwa na hela utapata ardhi Moshi,tofauti Ni kuwa ardhi ya Moshi ina bei kubwa maana ni valuable
 
Una chuki kali ngosha,tuliza wenge Kama mlikimbia umande mkakimbilia kucheza gobogobo pole yako
 
Hustahili hata kuitwa Mkuu, maana great thinkers hawana upeo finyu narrow mind kama yako!

Jinsi mlivyo na wivu na chuki na kabila husika kila likitwaja hamkosi kuja kupayuka huku JF. yaani wachagga wanawanyima raha sana, poleni sana,

kwahili sina namna ya kukusaidia hapa.

Kiukweli kwenye professional help nadhani umeongea kinyume maana nyie mnao lialia daily kuhusu wachagga ndio wenye tatizo na mnahitaji haraka sana msaada wa kisaikolojia psychological help !
 
Kwani hao wachaga wamekataliwa kuhama huko uchagani, ? Nchi hii kuna mtu anakatazwa kuishi anapotaka, ? What’s so special with wachaga mpaka waombe na kufikiriwa kwenda sehemu ya nafasi, nauliza kwa nini hasa, ?

Au hawataki kuchangamana na watanzania wengine? Kwani hili kabila likoje jamani,

Au nauliza huko kwao uchagani hawakuwahi kuchangamana na makabila mengine sasa wanaogopa kwenda kwao huko? Mimi nauliza tu, maana sielewi,

Naona wasukuma wapo mpaka lindi huko, waliomba kibali serikalini waende huko au waliona fursa wakaenda na wanajua kujichanganya na jamii nyingine wakakubalika,

Au hawa watu wanaukabila mbaya sana kiasi kwamba hawawezi kuhama mmoja mmjoja ni lazima wahame wote, mimi nauliza tu,

Kwani hawa ni watanzania au ni wakenya,
Hili ni ombi la ajabu kabisa kupatia kulisikia, au labda mimi Ndio sielewi.

Kwa ushauri tu, hebu leo waamue waende kigoma huko au lindi au songea au Dodoma au tabora au musoma, tuone nani atawafukuza,

Kama walikuwa wanafukuzia makabila mengine huko kwao , basi sisi tunaambia hatuna roho hizo waje tu tutawapokea.,
 
Tembea nchi nzima hii, hutokuta kabila ambalo limewatungia jina wageni(jina la kuwadharau) ila huku uchagani tunaitwa chasaka hahaha

Ngoja tuwape elimu, mutabadilika tu

Hii mbinu ya kuzaa na dada zenu itazaa matunda soon.
Acha upopona,nimetembea karibu mikoa yote tz Hakuna jamii ambayo haina wanalotumia kumuita mtu wa kuja(ambaye sio wa jamii husika)
Mfano wahaya huwa wanaita wakuja kwa jina la MNYAMAHANGA nk makabila yote yapo hivyo usilete uzwazwa wako kukwepa hoja
 
Kwani nyie wachaga ni warundi, au mnatoka nchi tofauti, ? Mbona hatuwaelewi nyinyi? Mnataka ni is hasa? Kwanini msiende huko mikoa mingine mkaenda kwenye serikali za vijiji mkajitambulisha mkawa wanakijiji, au mnataka mwende wote, hamtaki kutengana eeee,

Kama mpo hivyo basi hatuwataki, inaonesha nia yenu sio kuishi kindugu na jamii au ambayo mtaikuta huko,

Bora mbalimbali hukohuko
 
Wachaga walishangamana kitambo kabla hata ya Uhuru Tena walikuwa na exposure internationally
Kuhusu Kilimanjaro kuwa Kama Paris Hilo halipingiki, Kilimanjaro Ni mkoa wa kwanza tz kwa makaz bora vijijin,Hakuna mkoa wowote tz utakuta makaz ya kisasa kuzid Kilimanjaro
Pia kwa miundombinu Hakuna mpinzani lami zipo hadi vichochoroni,shule ndio mkoa unaoongoza kwa shule nyingi tz, huduma kama umeme kule upo tangu 1970's sasa kwann isiwe Paris?
Infact ripoti ya serikali inatuambia Kilimanjaro Ni mkoa wa pili tz kwa watu wake kuishi maisha Bora kwa 90%,ukiona hivyo ndio chuki inakujaa,huwez kufanikiwa kwa kumchukia aliyakuzid,nyie mmekalia Imani za kijinga za kuua vikongwe wenye macho mekundu hii inasabanishwa na ufinyu wa elimu
Karibu KILIMANJARO ujionee mandhari swaafi hatuna vijumba vya tembe,wala hatutumii punda kama usafir kama kule kwenu malampakaView attachment 1703100
 
Sasa hivi nikisikia mchagga ndoo kwanza navuta shuka kulala maana tunawaburuza tu, kila sehemu wamedhibitiwa wamebaki kukesha kwenye mitandao tu. Chezea ... Weye.
Hahaha wameburuzwa n'a nn?
Yani nyie mnaolala nyumba za nyasi mtuburuze? Umekula ugoro nn mkuu?
Watu mnaotumia punda kama usafir ndio mtuburuze ? Hahaha
 
Kwani hao wachaga wamekataliwa kuhama huko uchagani, ? Nchi hii kuna mtu anakatazwa kuishi anapotaka, ? What’s so special with wachaga mpaka waombe na kufikiriwa kwenda sehemu ya nafasi, nauliza kwa nini hasa, ?
Swali lako halina msingi maana waliwahi kuomba na kupewa na baba wa taifa na hakukuwa na tatizo! Wakiomba tena ni dhambi?! Wewe unapungukiwa kitu?! Au ndio chuki zilezile?!


Au hawataki kuchangamana na watanzania wengine? Kwani hili kabila likoje jamani,

Hapa umeonesha jinsi ulivyo na chuki za kipumbavu kuliko hata upumbavu wenyewe!

Kuna kabila limechangamana na watu kama wachagga?! Nenda kokote lazima utakuta duka la mangi. Au unajitoa ufahamu kwamba wachagga hawana maduka huko kwenu kanda ya ziwa?! Makabila yaliyosambaa sana kibiashara ni wachagga, wapemba na wakinga! Unaanzaje kujitoa ufahamu eti "hawataki kuchangamana na watanzania wengine!" Wewe ni pumbura original.
Au nauliza huko kwao uchagani hawakuwahi kuchangamana na makabila mengine sasa wanaogopa kwenda kwao huko? Mimi nauliza tu, maana sielewi,

Swali la kipuuzi la mwaka hapa Jf , wanyamwezi na wasukuma wamejaa lukuki uchaggani walikuja tangu enzi za mkoloni kufanya vibarua kama manamba kwenye reli ya Dar- Tanga - Moshi - Arusha

Kisha wakaloea kwenye mashamba ya mkonge na kahawa, wengi wanajiita wachagga kwasasa! Wasukuma lukuki walisomea moshi, weruweru, moshi tech, umburi n.k. hata ndugu yenu Daudi Bashite alisomea pale ushirika Moshi tena alikiri mwenyewe kuwa alilipiwa ada take na Mchagga Dr. Reginald Abraham Mengi.




Naona wasukuma wapo mpaka lindi huko, waliomba kibali serikalini waende huko au waliona fursa wakaenda na wanajua kujichanganya na jamii nyingine wakakubalika,

Upuuzi mwingine, kwani huko mwanza na geita wachagga hawapo?! Ficha ujinga wako kidogo. Sitaki kukwambia engineers wangapi wachagga wako migodini huko GGM, Buzwagi, mwadui, kakola nk.
hoja ya kutojichanganya ni ya kitoto mno!

Au hawa watu wanaukabila mbaya sana kiasi kwamba hawawezi kuhama mmoja mmjoja ni lazima wahame wote, mimi nauliza tu,

Hapa ndio umedhihirisha jinsi ulivyo mpumbavu mmoja aliyejaa chuki za kikabila , ingekuwa hivyo kusingekuwa na maduka ya wachagga "dukani kwa Mangi!" Tanzania nzima!


Kwani hawa ni watanzania au ni wakenya,
Hili ni ombi la ajabu kabisa kupatia kulisikia, au labda mimi Ndio sielewi.

Ujinga wa kiwango cha upumbavu, kwani watanzania hawaruhusiwi kuomba eneo la ardhi mkoa mwingine?! Ni kosa kisheria?! Walipoomba wakapewa mlipungukiwa nini?! Acheni chuki za kijinga nyie,


Kwa ushauri tu, hebu leo waamue waende kigoma huko au lindi au songea au Dodoma au tabora au musoma, tuone nani atawafukuza,

Kama walikuwa wanafukuzia makabila mengine huko kwao , basi sisi tunaambia hatuna roho hizo waje tu tutawapokea.,
Umeandika kwa chuki kali za uananzengo japo umejifanya eti "Mimi nauliza tu!"

Hakuna Ushauri wa maana hapa wote huu utopolo ni upumbavu mtupu uliojaa chuki , ujinga na wivu wa kimaskini.
 
Mchaga bila kubebwabwa hawana tofauti na wagogo. Wamshukuru sana Mkapa, alivyooa mchaga basi wakatumia nafasi hiyo kujichomeka chomeka sehemu nyeti
Wachaga walikuwepo kwenye système tangu enzi za mkoloni
Soma Historia hata baraza la mawazir la Kwanza kabisa lilisheheni wachaga wengi tu kina nsilo swai,kina Edwin mtei ,kina muhidini kimario nk
Wachaga wamesoma tangu enz na enz
 
Wew kweli lofa,kimei kaiacha CRDB ikiwa ndio bank yenye matawi mengi kuliko bank yoyote nchini
Unasumbuliwa na chuki hii inasabanishwa na jamii yenu kutothamin elimu badala yake ikawekeza kwenye kucheza bogobogo
 
Hahaha mkuu umembana vilivyo huyo jamaa mwenye chuki kali za kijinga nadhani hatarudia Tena kuandika ujinga
 

Alafu ulivyo mpumbavu eti unathubutu kabisa kujikakamua na kusema hatuwataki ahahaaa!

Wakati juzi tu hapa mfalme wenu JIWE, kalipa shamba la miti huko Geita jina la "mchagga" msomi Professor Dos Santos Silayo! Wachagga hawakwepeki ni kama maji, usipoyanywa utayaoga, kufulia nguo au kuoshea vyombo!

Ni hivyo tu yaani, tuliza mtori nyama zipo chini.
 
Koma kabisa kulinganisha kabila la watu ml 8 na kakikundi ka watu laki tatu. Unalinganisha mzanaki na msukuma ? We hovyo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…