Kwani hao wachaga wamekataliwa kuhama huko uchagani, ? Nchi hii kuna mtu anakatazwa kuishi anapotaka, ? What’s so special with wachaga mpaka waombe na kufikiriwa kwenda sehemu ya nafasi, nauliza kwa nini hasa, ?
Swali lako halina msingi maana waliwahi kuomba na kupewa na baba wa taifa na hakukuwa na tatizo! Wakiomba tena ni dhambi?! Wewe unapungukiwa kitu?! Au ndio chuki zilezile?!
Au hawataki kuchangamana na watanzania wengine? Kwani hili kabila likoje jamani,
Hapa umeonesha jinsi ulivyo na chuki za kipumbavu kuliko hata upumbavu wenyewe!
Kuna kabila limechangamana na watu kama wachagga?! Nenda kokote lazima utakuta duka la mangi. Au unajitoa ufahamu kwamba wachagga hawana maduka huko kwenu kanda ya ziwa?! Makabila yaliyosambaa sana kibiashara ni wachagga, wapemba na wakinga! Unaanzaje kujitoa ufahamu eti "hawataki kuchangamana na watanzania wengine!" Wewe ni pumbura original.
Au nauliza huko kwao uchagani hawakuwahi kuchangamana na makabila mengine sasa wanaogopa kwenda kwao huko? Mimi nauliza tu, maana sielewi,
Swali la kipuuzi la mwaka hapa Jf , wanyamwezi na wasukuma wamejaa lukuki uchaggani walikuja tangu enzi za mkoloni kufanya vibarua kama manamba kwenye reli ya Dar- Tanga - Moshi - Arusha
Kisha wakaloea kwenye mashamba ya mkonge na kahawa, wengi wanajiita wachagga kwasasa! Wasukuma lukuki walisomea moshi, weruweru, moshi tech, umburi n.k. hata ndugu yenu Daudi Bashite alisomea pale ushirika Moshi tena alikiri mwenyewe kuwa alilipiwa ada take na Mchagga Dr. Reginald Abraham Mengi.
Naona wasukuma wapo mpaka lindi huko, waliomba kibali serikalini waende huko au waliona fursa wakaenda na wanajua kujichanganya na jamii nyingine wakakubalika,
Upuuzi mwingine, kwani huko mwanza na geita wachagga hawapo?! Ficha ujinga wako kidogo. Sitaki kukwambia engineers wangapi wachagga wako migodini huko GGM, Buzwagi, mwadui, kakola nk.
hoja ya kutojichanganya ni ya kitoto mno!
Au hawa watu wanaukabila mbaya sana kiasi kwamba hawawezi kuhama mmoja mmjoja ni lazima wahame wote, mimi nauliza tu,
Hapa ndio umedhihirisha jinsi ulivyo mpumbavu mmoja aliyejaa chuki za kikabila , ingekuwa hivyo kusingekuwa na maduka ya wachagga "dukani kwa Mangi!" Tanzania nzima!
Kwani hawa ni watanzania au ni wakenya,
Hili ni ombi la ajabu kabisa kupatia kulisikia, au labda mimi Ndio sielewi.
Ujinga wa kiwango cha upumbavu, kwani watanzania hawaruhusiwi kuomba eneo la ardhi mkoa mwingine?! Ni kosa kisheria?! Walipoomba wakapewa mlipungukiwa nini?! Acheni chuki za kijinga nyie,
Kwa ushauri tu, hebu leo waamue waende kigoma huko au lindi au songea au Dodoma au tabora au musoma, tuone nani atawafukuza,
Kama walikuwa wanafukuzia makabila mengine huko kwao , basi sisi tunaambia hatuna roho hizo waje tu tutawapokea.,
Umeandika kwa chuki kali za uananzengo japo umejifanya eti "Mimi nauliza tu!"
Hakuna Ushauri wa maana hapa wote huu utopolo ni upumbavu mtupu uliojaa chuki , ujinga na wivu wa kimaskini.