Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

Wachaga walikuwepo kwenye système tangu enzi za mkoloni
Soma Historia hata baraza la mawazir la Kwanza kabisa lilisheheni wachaga wengi tu kina nsilo swai,kina Edwin mtei ,kina muhidini kimario nk
Wachaga wamesoma tangu enz na enz
Nani kakuambia kwamba Edwin Mtei na Muhidini Kimaro walikuwemo kwenye Baraza la kwanza la Mawaziri la Tanganyika huru. Kweli wewe ni mtoto wa juzi. Nsilo Swai sawa lakini si hao uliowataja hawa walikuja baadaye sana
 
Kwani mzee kuna sehemu wachaga wamenyimwa kuishi mbona hueleweki?si taratibu za ardhi zinajulikana tu kwa mtanzania yyte anaweza kwenda popote au wanataka wapewe eneo waishi wao tu kama kabila lao?mbona wamejaa kimara kwani walipapataje?hao watu wote waliopo dar walihamiaje?

Wewe hakuna ndugu zako waliohamia mikoa mingine??whats so special about them?kuna mahali watanzania hawaruhusiwi kubamia?

Halafu sielewi logic yako kusema watu hawajui historia eti mwaka flani walihamishwa so what??lazima tuige huo mwaka??sheria ya ardhi iko wazi mtanzania anaenda popote asivunje sheria tu sasa hio attention wanayoitaka wao inasababishwa na nini??mbona wakazi wa dar hawaombi maeneo wanaenda tu mikoani wananunua na sehem zingine wanafyeka tu??

Halafu unaulizia kuhusu wageni kupewa ardhi hivi hata unachokiandika unakisoma kabla ya kupost??wageni wanapewa kwa kua sheria haiwalindi kama watanzania hawana ruhusa ya kumiliki ardhi so kupewa kwao ni kwa mkataba wa kuiendeleza tu na haitokua iwe yao na wale waburundi ni kwa kua wakimbizi walipewa uraia la sivyo wasingeweza kumiliki ardhi kama mtanzania so kwa kua wapo kwenye VITA kwao na wamekaa aana bongo huoni kama ni upuuzi kulinganisha na mchaga ambae tyar anaweza kumiliki ardhi popotebila shida??
 
Wanaozaliana hovyo huwajui? Lake zone ndio inazaliana kwa 100% kule average minimum ya family members Ni watoto 10
Sasa mbona mbunge wa Vunjo anasema aardhi imekwisha, je sio kwa sababu ya kuzaliana? Pia, kama kanda ya ziwa wanazaliana sana, mbona ardhi haishi? Hapa ni suala la kurekebisha mila na tamaduni.
 
Hii picha ya pili, hiyo ninayoiona ni aina gani ya lami, kama lami ipo mpaka barabara za vichochoroni? Hii ndio namna ya kufikiri 'kichagga.'
 
Sio hvyo tu Ni ngumu mmarangu kupata ardhi rombo au mrombo kupata eneo machame na nk
 
Hoja ya mleta uzi ni je ni lazima kuomba bungeni? au unaposema waliwahi kuhamishiwa Handeni, Mpanda Kilosa nk, ni utaratibu gani uliotumika? Kama waliomba serikalini na wakahamishwa then ni sahihi kwa utaratibu huo kutumika hata sasa. Lakini pia itakuja hoja nyingine, je kama huo ndio utaratibu je hao waliohamia sehemu nyingine bila kufuata utaratibu huo, walivunja sheria?
 
Hawajavunja sheria kama mamlaka husika ziliridhia. Sio rahisi sana kwa mtu mathalani yuko kilimanjaro akaelewa maeneo yalyo wazi kama vile huko mpanda. Pia ukumbuke ni watu wengi wenye shida ya ardhi na kuhitaji nguvu zaidi ya serikali kupata eneo la kutosha.
 
Unanizidi nini wewe paka shoe shine wa kwa Sadala. Pumbavu kabisa.
Mpaka shoe shine wa sadala Ana uhakika wa kuingiza 30000 kwa Siku Sawa n'a laki 9 kwa mwezi ukienda kwake unakuta nyumba nzuri na mifugo kama kuku ,mbuzi Bata Pia unakuta anasomesha mtoto wake private na Ana usafir angalau wa pikipik, Kilimanjaro vijijin mzunguko wa hela ni mkubwa sio kama kule kwenu nyan'gwale mtu kupata héla ni Mara moja kwa mwaka anapouza vi mpunga
 
@nizakale umesikia?
 
Wachaga hawahawa wanaojinadi kuwa magwiji wa kutafuta pesa ndiyo wamegeuka ombaomba.

Si Wana hela? Watafute maeneo kwingineko wanunue kama wanavyofanya makabila mengine.

Nyerere alishakufa na ujamaa wake kwa sasa tuko kwenye "ubeberu" kwahiyo hizo habari za Nyerere this Nyerere that ni yesterday news.
 
Hujaelewa mantiki wewe,Kwan Kuna sehemu yoyote tz ambayo haina mchaga? Wachaga Ni WAHINDI wa kitanzania wame.invest ma miradi makubwa maeneo mengi tu tz
 
Wewe usicheze na nchi iliyobarikiwa. Dhahabu almas, ng'ombe kila kitu kinapatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…