Wachaga walishangamana kitambo kabla hata ya Uhuru Tena walikuwa na exposure internationally
Kuhusu Kilimanjaro kuwa Kama Paris Hilo halipingiki, Kilimanjaro Ni mkoa wa kwanza tz kwa makaz bora vijijin,Hakuna mkoa wowote tz utakuta makaz ya kisasa kuzid Kilimanjaro
Pia kwa miundombinu Hakuna mpinzani lami zipo hadi vichochoroni,shule ndio mkoa unaoongoza kwa shule nyingi tz, huduma kama umeme kule upo tangu 1970's sasa kwann isiwe Paris?
Infact ripoti ya serikali inatuambia Kilimanjaro Ni mkoa wa pili tz kwa watu wake kuishi maisha Bora kwa 90%,ukiona hivyo ndio chuki inakujaa,huwez kufanikiwa kwa kumchukia aliyakuzid,nyie mmekalia Imani za kijinga za kuua vikongwe wenye macho mekundu hii inasabanishwa na ufinyu wa elimu
Karibu KILIMANJARO ujionee mandhari swaafi hatuna vijumba vya tembe,wala hatutumii punda kama usafir kama kule kwenu malampaka
View attachment 1703100View attachment 1703101View attachment 1703102