yaliyomoyamo hawa watu ni masikini wakutupwa yaani ni mafukara hadi basi.Nimekaa mwanza , Geita, shinyanga na Simiyu,kule bariadi na Maswa, hakuna mikoa yenye watu masikini kama hii. Hadi huruma jamani.
Nimekaa mwanza , Geita, shinyanga na Simiyu,kule bariadi na Maswa, hakuna mikoa yenye watu masikini kama hii. Hadi huruma jamani.
Umeona eeh. Sasa wakija huku mjini wanajifanya wanakataa kwao. Wanatia huruma sanayaliyomoyamo hawa watu ni masikini wakutupwa yaani ni mafukara hadi basi.
Nimekaa sana mwanza na shinyanga pale kuzumbi, ibinzamata, ndala, buligalila, ngokolo , tinde mpaka kahama na kakola
Kote huko kuna umasikini wakutisha, kuna sehemu unapita na gari hadi unajiuliza huku nako ni Tanzania?! Au Tanganyika?!
Masikini hadi wanakuwa waoga sana.
Mimi. Sio mchagga wala sitoki Kilimanjaro kaka, lakini mwanza ,shinyanga na simiyu nimekaa sana tena sana watu wakule ni masikini mno nawajua fika kaka. Hapa tuseme ukweli.msemakweli ni mpenzi was Mungu.be realWewe nawe umetokea wapi ? Ni lini kanda ya ziwa walikuja kuomba chakula Kilamnjaro ?ninyi ndio njaa tupu kutwa kuzurura kwenye mikoa iliyobarikiwa.
Wanajifanya wametoka Paris kumbe umasikinini kwenye nyumba za tembe zilizo kandikwa kwa matope na mavi ya ng'ombe.Umeona eeh. Sasa wakija huku mjini wanajifanya wanakataa kwao. Wanatia huruma sana
Bora wewe dada yaliyomoyamo umefunguka na kuamua kusema ukweli. Hakuna mtanzania hasiyejua jinsi wasukuma wanavyonuka umasikini. Mwenye akili timamu hawezi kulinganisha hali za maisha za wachagga na wasukuma it's absolutely nonsense!Mimi. Sio mchagga wala sitoki Kilimanjaro kaka, lakini mwanza ,shinyanga na simiyu nimekaa sana tena sana watu wakule ni masikini mno nawajua fika kaka. Hapa tuseme ukweli.msemakweli ni mpenzi was Mungu.be real
Kwa nini wawe na shida ya ardhi? Hii ina maana kihistoria walishindwa kunyang'anya ardhi kutoka kwa makabila yanayowazunguka, hivyo basi hawakuwa strong.Acha hasira za kujinga kwenye kuadress mambo...Huwezi fikia CV ya Kimei hata iweje dogo.
Kila sehem ina shida zake moshi shida yake ni ardhi
Ungejua historia ya wachagga walitoka wapi mpaka wakafika pale Kilimanjaro na walipigana na makabila mangapi mpaka wakaiteka ardhi yote inayozunguka mlima Kilimanjaro usinge ropoka ovyo!Kwa nini wawe na shida ya ardhi? Hii ina maana kihistoria walishindwa kunyang'anya ardhi kutoka kwa makabila yanayowazunguka, hivyo basi hawakuwa strong.
Malisho yapo kwenye nini? Wasukuma wamejaa chunya,katavi,kigoma wanafuga na kulima.Nyie wachaga mnataka kulWamasai ni jamii zinazo hama hama kufuata malisho ya mifugo yao , same thing na baadhi ya wasukuma , wachaga hawana tabia hiyo
Kwa nini hawakupigana wapate ardhi kubwa? Kama wachaga wamekosa ardhi kubwa huwezi nishawishi kuwa walikuwa imara kuliko wamasai, mchaga angeweza kunyang'anya ardhi ya masai au mang'ati acha utani.Ungejua historia ya wachagga walitoka wapi mpaka wakafika pale Kilimanjaro na walipigana na makabila mangapi mpaka wakaiteka ardhi yote inayozunguka mlima Kilimanjaro usinge ropoka ovyo!
Kwa nini hawakupigana wapate ardhi kubwa? Kama wachaga wamekosa ardhi kubwa huwezi nishawishi kuwa walikuwa imara kuliko wamasai, mchaga angeweza kunyang'anya ardhi ya masai au mang'ati acha utani.
NILISHAKUJIBU HAPA ;
Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni pamoja na eneo la mji wa arusha, mji wa arusha ulikuja kutengwa na kugawanywa na baba wa taifa mwl Julius nyerere akaunda mkoa mpya wa arusha pamoja na wilaya za monduli na manyara ya sasa.
Kiasili wameru ni wachagga, na ilikuwa sehemu ya mkoa wa Kilimanjaro, wameru na wachagga wa machame wanasikilizana, nenda kajifunze historian kuhusu kumegwa kwa mji wa arusha.
Kuhusu uhaba wa ardhi, wachagga walivamia Kilimanjaro na kuteka eneo LENYE RUTUBA KUZUNGUKA MLIMA KILIMANJARO. hawakuwa na haja na maeneo mengine makame kama ya upareni, wao walitaka maeneo yenye RUTUBA TU kwaajili ya kilimo na ufugaji, na eneo hili lenye rutuba ni kuzunguka mlima Kilimanjaro tu, waliishi hapo kwakufanya shughuli za kilimo na ufugaji.
Kwa wakati ule idadi yao na mashamba yao yaliwatosha sana, mpaka serikali ilipokuja na kuanzishahifadhi ya wanyama ya mlima kilimanjaro (Kilimanjaro national park) KINAPA ambayo ilizuia wachagga kuendelea kufyeka msitu unaozunguka mlima Kilimanjaro ili kujipatia mashamba na adhi yenye rutuba.
For Your Information;
Kinachotakiwa na wachagga sio ardhi tu, bali ni ardhi yenye rutuba! Kilimanjaro kuna ardhi tele ya kuishi lakini wanachotaka wao ni ardhi yenye rutuba! Na kuomba ardhi sio dhambi.kumbuka pia wako wachagga wengi tu wenye mashamba makubwa morogoro, mbeya, iringa,tanga na pwani, sasa sio wrote wenye access ya kujua wapi ilipo ardhi bora ndio maana wakatoa maombi yao na sio kosa kisheria.
Banduka alikuwa mpare mkuuMoshi ardhi ni tatizo kubwa, kuna kipindi Nicodemus Banduka akiwa mkuu wa mkoa wa pwani alienda kugombea nafasi ya ubunge kwao moja ya kampeni yake ilikuwa ni kuwatafutia wachaga ardhi pwani.
Kimei kama angepewa uwaziri angefanya kama aalivyofanya CRDB kujaza wachaga, mapovu ruksa.
Labda wamekuamsha wewe mkuu na kabila lako, sisi waha na wamanyema wa kigoma hatukuamshwa na wachaga na ndio maana babu zeti waliweza kumiliki ardhi kariako na miji mikubwa mingi leo hii tunakula kodi kwa ujanja wa babu zetu kujenga mijini.Mi siyo mchaga, lakini mahali popote mchaga alipotua kutokana na uchakalikaj8 mabadiliko yalionekana.
Mikoa mingi imechangamshwa na wachaga hiyo ni asili yao. Hivyo tusiwe wabaguzi na tukisinzia wacha tuamshwe.
Hivi mkuu wachaga hawakuwa majambazi kweli miaka ya 90 au nimesahau.Mali zenu sio za kumwaga damu na kudhulumu watu, wachaga walikuwa hadi wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa kudhulumiana pesa au nimesahau!Bahati nzuri afadhali hiyo tamaduni kwetu ilikuwa salama. Hakuna upuuzi kama kule kwenu.
Kule kanda ya ziwa huwa mnatumwa na waganga mtembee na mamazenu ili mpate utajiri, mnalaana nyie watu ndio maana hamuendelei asilani mnabaki kulialia na kuona wivu wa kijinga.
Achana na tabia zile za kuua wazazi wenu kwa imani za uchawi. Mapanga shaa yalianzia kanda ya ziwa(kuna watu maalumu mnawakodi ili wakawaue ndugu zenu), achana na mauaji ya maalbino , kufukua makaburi yao, kuwakata viungo vyao kwa imani zenu mbovu za kichawi alafu wanakuja huku moshi Kcmc kutengenezewa viungo vya bandia. Nyie watu mna laana sana aisee daaah! hata hiyo ardhi yenu imejaa laana ya damu ya wazazi wenu na maalbino achana na laana na mikosi ya kutoa kafara na kuchukua ndugu zenu misikule imitunga.
Ana kigugumizi mkuuu.Hivi Kimei ni ana kigugumizi au ni vipi? Anavyoongea ni kama anakwama Kwamba,maneno hatamki vizuri. Au ndo kusema kuwa amezoea English?
NB. Nimemsikia akitoa hoja bungeni.
Hayuko eloquent
Wameru ni wachagga mkuu, hata wao wenyewe wanajua hilo, na wamasai ni ndugu zetu tunaishi nao vizuri sana hawanaga tatizo na mtu wala wivu na chuki za kijinga kama wasukuma!ivi kwanini tusiwafukuze hawa wameru na wamasai tuchukue arusha yote maana kidogo ndo inaendana na sisi, kwa wapare kule wana ardhi mbovu sana!
Ni kweli kabisa, nimewakuta sehemu inaitwa Mwese, wilaya ya Tanganyika, mkoa wa Katavi. Hapo Mwese (ni kata) kinaitwa uchagani, wamepiga mgomba balaaa na pako vizuri sana. Pia ukienda Turiani vijiji vya Dihinda na Kanga utawakuta kibao, hasa hapo Kanga.kuna wengine walipelekwa Sumbawanga wakati wa awamu ya kwanza
Yaani hawa wapo kila mahala mkuu, nenda Mtwara mjini wapo, Katavi nimefika juzi wapo. Morogoro, Dodoma ndo usiseme. Mkoa ambao sijaona Wachaga na wapare wengi ni Lindi.Nadhani watu hawa waliitaji eneo kubwa sana mfano wa mkoa nadhani hivyo nadhani pia walipenda hata kuliita eneo hilo jina la kichagga