Ahahaaa. Ndio maana nikakuita wewe ni mpumbavu aisee!
Afadhali hata ungekuwa mjinga basi ujinga wako ungetoka hata kidogo lakini mpumbavu haelimishiki kamwe.
Lakini kusikia kwa kenge ni mpaka atoke damu masikioni na Mimi sitaacha kukuzibua mpaka utokwe damu usikie!
Wachagga ni state! Ni zaidi ya kabila, kitaalamu kabila (tribe) linapovuka mpaka wa kikabila chiefdom, ugeuka kuwa kingdom, Tanzania ni makabila machache sana yaliyopevuka na kuunda hali hii ya kuwa tawala kubwa yaani muunganiko wa jamii kubwa ambazo ugeuka na kuwa falme (kingdoms) au nchi (states), mojawapo ya makabila kama haya ni wahaya na wanyakyusa! Nakupa elimu hapa maana elimu hii huna, we unadhani kuwa kabila kuunda jamii mbalimbali basi huo ni udhaifu, sasa kiwango cha kabila kuunda jamii mbalimbali huko ni kukomaa sana, kupevuka na ku-upgrade hatua kubwa zaidi, waingereza waliwatambua wachagga kama kabila ambalo limetengeneza mfumo wa nchi state!
Kuhusu wachagga kutawala arusha, hapa bado uko na ujinga mwingi wa kisukuma, wakati wa wakoloni hakukuwa na mipaka ya marginal boundaries kama hii ya kisasa, bali makabila yalitambulika kwa uasili wao wa mahali au kuteka sehemu husika. Wameru ambao ndio kiasili niwakazi wa maeneo hayo nimeshakuelimisha huko juu kuwa ni wachagga!! Naona hili limekuumiza sana, kwataarifa yako wameru walikuwa na bado ni sehemu ya wachagga mpaka sana kama walivyo wagweno wa upareni na facts nilikupa hata wao wanalitambua hili, arusha sio asili ya wamaasai, mji wa arusha ni asili ya wameru ambao ni wachagga (waliitwa wameru kutokana na mlima meru), japo kiasili hakuna kabila la wameru, ni kama kusema kabila la wamachame au wamarangu ambalo kimsingi halipo bali ni sehemu ya chagga'sdom.
So mwl nyerere alipoanza kugawa mikoa (regions) kutoka kwenye majimbo (provinces) ili kurahisisha utawala na maendeleo aliona maeneo ya umaasaini ni nyika na mapori hakukuwa na mji mkubwa unaoweza kuunda makao makuu ya utawala wa mkoa huo mpya kama mji wa arusha ya wameru ambao kimsingi ni wachagga, hivyo akaamua kuumega mji wa Arusha kutoka kwenye kabila la wachagga na kuunda mkoa wa arusha pamoja na wilaya za monduli, manyara, simanjiro, n.k
Lengo la kuuweka mji wa arusha pamoja na maeneo ya wamaasai na wambulu (wairaqwi) ilikuwa ndio mji wenye maendeleo sana kwa wakati huo na unafaa sana kuwa makao makuu ya mkoa kuliko mji wowote wa eneo la wamaasai au wambulu kwa wakati ule, na kwakuwa kilimanjaro bado ilikuwa na miji mingine mikubwa kama moshi na himo haikuleta shida yoyote kwa wakazi wa Kilimanjaro. Kugawa miji kwa mtindo huu sio ngeni hata Chato iliyokuwa sehemu ya mkoa wa Kagera ilimegwa na kuungwa na wilaya ya Geita iliyokuwa mkoa wa Mwanza na kuunda mkoa wa Geita. Acha kujito akili basi, maana nyie watu ni mambumbumbu mno hata kwenye kiwango cha elimu mko nyuma sana hivyo kuwaelimisha nyinyi ni lazima tufanye juhudu za makusudi, hivi wasukuma wanashika nafasi ya ngapi kwenye viwango vya elimu hapa Tanzania?! Maana mnatia aibu sana, mkoa wengi kama nyumbu alafu wajinga watupu!