Kuomba ardhi sio kosa mkuu, elewa hill kwanza, hilo jambo sio kinyume cha sheria, kuomba ardhi ni sawa, hakuna kosa kwenye hilo, tunaongozwa na sheria nipe kifungu cha sheria ambacho kinakataza au kinazuia MTU au watu au mbunge wao kuomba ardhi nitaungana na wewe,
Kama hakuna kifungu chochote cha sheria kinachozuia wala kukataza hilo obviously sio kosa, usipoteze nguvu kubwa kwenye hilo, wala hakuna mtu anayetaka upendeleo bali wanatumia haki yao ya kikatiba kama watanzania kuomba ardhi mkuu, kuomba ardhi sio kosa tuelewe hilo, period.