Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

Nikiwa natoka shamba huku nimebeba mihogo kichwani na uchovu na njaa, niliamua kufumba macho ili nisione ninakokwenda na nistukie nimefika au kukaribia

kitu fulani kikaniambaia nifumbue macho nikajikuta katikati ya barabara ila bahati hakukua na magari yanayokua au kwenda

hili tukioa limekua likinirudia sana kichwani kwangu

Je, wewe unakumbuka kituko gani cha hatari au kukufurahisha ambacho hutokisahau maishani


Baada ya kuona sinema ya "Super Man" mimi na wenzangu tukaiba khanga za Mama zetu na kupanda juu ya paa la nyumba ili turuke twende Zanzibar tukaibe vitu na kurudi usiku ule ule. Bahati nzuri alitangulia kuruka rafiki yangu, akavunjika mkono na mbavu vibaya sana. Kwa uwoga wa kupoteza maisha nikakataa kushuka kule juu ya paa, nikaokolewa na jamaa wa faya. Utoto ni maji ya moto kweli.
 
Utoto raha.

Nakumbuka tulikuwa tunalinda ndege shambani sasa tukawa tunapewa chakula tunaenda nayo..

Siku moja tukashiba na kutupa ugali ulobaki.

Baada ya miaka kama miwili ikaja njaa kubwa kijijini watu wakawa wanashinda njaa ikitokea mara moja moja mnapikiwa uji siku inapita.

Si nikakumbuka tuliwahi kutupa ugali kipindi cha nyuma , ikabidi niwaambie wenzangu twende kutafuta ugali tulotupa miaka ilopita ili tule.

Kufika tuliambulia patupu
 
hahaha umelitumia vizuri nkafkiri expert kumbe 'kyasaka'('kyasaka' ni mtu wa porini...hua tunaamini sehemu yoyote tofauti na moshi ni porini) na mtu ambae sio mchaga ni 'kyasaka' yaani mtu wa porini......chukua na hiyo
Hahaha hilo."kyasaka" nalijua bana
 
Dada Mkuu wangu alikuwa anaitwa Prisca ..
Sasa mimi nikamuita Pirrri
heee niliburuzwa kama Kiti.anaenda kuchinjwa kwani alikuwa na umbile siju ni mmachame yule.
Mwaka jana mimemkuta anauza ndizi pale soko la Sanya kachoka
 
Kumbe ni wewe....! Nakumbuka hio siku ila stori hukuimalizia yote!
Nilimaliza bwana. Hadi mahousegirl wenu Wakaanza kuwafanyia vitu mbaya.

NEVER TRUST ANYONE WITH YOUR CHILDREN, yani kama una housegirl mdogo never be comfortable. Wengine wana vichwa vibovu.

I was robbed my innocence that day.
 
Mi nakumbuka kuna demu alimzingua jamaa mmoja kitaa..Basi yule jamaa kwa asira akamwambia "ujue ntakubikiri"..Basi mi nikalipenda hilo neno bila hata kujua maana yake..Nikihisi kuwa litakuwa linamaanisha ntakupiga....Siku tumekaa sitting room na wazee pamoja na wagen tunacheki Tv tukaanza kugombania rimoti na sista..yeye akiwa anataka kubadili chanel..Ndo kumwambia "ujue ntakubikiri,we endelea tu"...

Nilipelekwa chemba nikapewa stiki za kutoha..Zen baadae darsa ndo likafwata..Ndo ikawa chanzo cha kupunguza kuokotaokota maneno kitaa
ha ha ha eti nitakubikiri
 
Kijana kumbe we ni bro wangu kwenye hizo vitu..Nakumbuka mi first time kuangalia nilikuwa form one..Basi baada ya kutoka kuangalia kila msichana ninayekutana naye namuona kama yupo uchi vile


Hahahaa..bro umenichekesha mimi mara ya kwanza kucheki sikuamin venye lote linamezwa mule
 
Back
Top Bottom