HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,554
poleChamechaa ndo nini Mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poleChamechaa ndo nini Mkuu?
Ahsanteeepole
Yeah..Ntajitahidi nikisomeUtakisoma?
Nikiwa natoka shamba huku nimebeba mihogo kichwani na uchovu na njaa, niliamua kufumba macho ili nisione ninakokwenda na nistukie nimefika au kukaribia
kitu fulani kikaniambaia nifumbue macho nikajikuta katikati ya barabara ila bahati hakukua na magari yanayokua au kwenda
hili tukioa limekua likinirudia sana kichwani kwangu
Je, wewe unakumbuka kituko gani cha hatari au kukufurahisha ambacho hutokisahau maishani
neno 'tei tei' ni umelitolea wapiAhsanteee
Nilijifunzia tu kwa watuneno 'tei tei' ni umelitolea wapi
watu wa wapi?Nilijifunzia tu kwa watu
Sijui hata origin ya hilo neno, ila ilikuwa morogorowatu wa wapi?
ni la kichaga maana ni hiohio lakiniSijui hata origin ya hilo neno, ila ilikuwa morogoro
Aaah kumbe, me nililibeba tu kama lilivyo. thanksni la kichaga maana ni hiohio lakini
hahaha umelitumia vizuri nkafkiri expert kumbe 'kyasaka'('kyasaka' ni mtu wa porini...hua tunaamini sehemu yoyote tofauti na moshi ni porini) na mtu ambae sio mchaga ni 'kyasaka' yaani mtu wa porini......chukua na hiyoAaah kumbe, me nililibeba tu kama lilivyo. thanks
Hahaha hilo."kyasaka" nalijua banahahaha umelitumia vizuri nkafkiri expert kumbe 'kyasaka'('kyasaka' ni mtu wa porini...hua tunaamini sehemu yoyote tofauti na moshi ni porini) na mtu ambae sio mchaga ni 'kyasaka' yaani mtu wa porini......chukua na hiyo
Nilimaliza bwana. Hadi mahousegirl wenu Wakaanza kuwafanyia vitu mbaya.Kumbe ni wewe....! Nakumbuka hio siku ila stori hukuimalizia yote!
hahahahaha basi ww utakua wa kwetu sema not a typical kyasakaHahaha hilo."kyasaka" nalijua bana
ha ha ha eti nitakubikiriMi nakumbuka kuna demu alimzingua jamaa mmoja kitaa..Basi yule jamaa kwa asira akamwambia "ujue ntakubikiri"..Basi mi nikalipenda hilo neno bila hata kujua maana yake..Nikihisi kuwa litakuwa linamaanisha ntakupiga....Siku tumekaa sitting room na wazee pamoja na wagen tunacheki Tv tukaanza kugombania rimoti na sista..yeye akiwa anataka kubadili chanel..Ndo kumwambia "ujue ntakubikiri,we endelea tu"...
Nilipelekwa chemba nikapewa stiki za kutoha..Zen baadae darsa ndo likafwata..Ndo ikawa chanzo cha kupunguza kuokotaokota maneno kitaa
Kijana kumbe we ni bro wangu kwenye hizo vitu..Nakumbuka mi first time kuangalia nilikuwa form one..Basi baada ya kutoka kuangalia kila msichana ninayekutana naye namuona kama yupo uchi vile
Haha...Mi kila kitu nilikuwa nashangaaHahahaa..bro umenichekesha mimi mara ya kwanza kucheki sikuamin venye lote linamezwa mule