Kituko: Diva avalishwa pete ya uchumba baada ya kufunga ndoa, Yasemekana ameposwa kwa laki mbili

Kituko: Diva avalishwa pete ya uchumba baada ya kufunga ndoa, Yasemekana ameposwa kwa laki mbili

Sijui kwa nini siamini kama ni ndoa kweli.. af diva anatumia nguvu kubwa saaanaa kuaminisha watu yeye ni mke wa mtu, kila saa nimeolewa nimeolewa.. ndoa haijifichagi bhana 🙄🙄
 
Diva alitoa taarifa ya kuolewa siku ya wapenda nao na akisema yeye ni mke wa mtu rasmi lakini cha kushangaza jana ilibidi avishwe pete ya uchumba na kutolewa posa ya Tsh laki mbili badala ya million 500 aliyowai kuhitaja kama mahali!
Kwa upande mwingine Sheikh anasema kuwa mahusiano yake na Diva yana wiki mbili😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Baada ya kuona namba za umri zinakatika kaamua kuolewa bureeee[emoji16][emoji16][emoji16]
Dada wakati ni ukuta na umri unaenda mbele haurudi nyuma bora umeliona hilo mapema
 
Sasa jamani mbwembwe zote zile,Diva ni wa kuolewa na mganga wa kienyeji tena tapeli?Khaa kweli Dunia duara...
Sasa kuanzia lini diva aliwahi kumiliki akili
Kuna wakati unamsikiliza na unajiuliza
Timamu kweli
 
Umri unasemaga yoooote.....eti wana wiki 2 kwenye mahusiano
 
Diva alitoa taarifa ya kuolewa siku ya wapenda nao na akisema yeye ni mke wa mtu rasmi lakini cha kushangaza jana ilibidi avishwe pete ya uchumba na kutolewa posa ya Tsh laki mbili badala ya million 500 aliyowai kuhitaja kama mahali!
M500!!! kwa papuchi ipi alokuwa nayo? je tuliogonga kwa 100k afu tumiikuta haina haluahalua tukapotezea
 
Back
Top Bottom