Kituko: Diva avalishwa pete ya uchumba baada ya kufunga ndoa, Yasemekana ameposwa kwa laki mbili

Mmmmmh ndio ya wiki mbili daaaah,kibaya Zaid divaaa kazama kimahaba na shekh mpk kero
 
Dah,matatizo mengine ni ya kujitakia,kwahiyo Diamond ameshakuwa Mungu...?
 
Huyu dada angetumia condoms tu maisha yake yote, na tuombe zisipasuke kamwe.
 
Kwahiyo kaolewa na mganga na posa kajilipia kwa pesa yake
 
Diva alitoa taarifa ya kuolewa siku ya wapenda nao na akisema yeye ni mke wa mtu rasmi lakini cha kushangaza jana ilibidi avishwe pete ya uchumba na kutolewa posa ya Tsh laki mbili badala ya million 500 aliyowai kuhitaja kama mahali!
Laki 2 kazidiwa na wakijijini anaelipiwa mahari ya ngombe 5
 
Waganga wanna nafasi ya kuwa matajiri kwa usiku mmoja. Dr Mwaka
 
Kiki za kijinga hizo huyo bi dada anapenda kuongelewa, sasa kama hapo alisema kaolewa baada ya siku mbili tena eti anavishwa pete??!!kwanza pete kwa dini hiyo ya kiislam ni wapi na wapi??!!
 
Original East ameshamwaga mboga huko, hakuna ndoa pale, jamaa ni mganga na wengi wa wateja wake ni wanawake.

Hii ndrama ya ndoa ni jamaa kujitakasa mbele ya jamii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi jaman khaaaah
 
Sasa jamani mbwembwe zote zile,Diva ni wa kuolewa na mganga wa kienyeji tena tapeli?Khaa kweli Dunia duara...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…