Kituko gani alikufanyia mtoto wa mwenyeji wako ulipokuwa ugenini huwezi kukisahau hadi leo hii?

khaa aisee hii balaaa
 
Ila yote haya malezi ndio sababu..si mnakumbuka enzi zile familia mgeni kapewa soda dogo hachezi mbali au anaenda kuleta kikombe umwekee kidogo😂😂😂
 
Hivi nyie vijana mnatoaga wapi haya mawazo?

Ok

Miaka ya nyuma kidogo tulikuwa tukienda kuchunga unabeba maji kwenye ka kibuyu

Sasa wengine badala ya maji ndani unaweka loko wiski ukijua maji utapata hata mbele ya safari..

Sa picha ikawa hivi
Tulikuwa tunapitia ng'ombe za majirani kwenye umoja wetu, sasa naingia mji mmoja nakuta hawajafungulia mifugo nikaambia nisubiri kidogo wanamalizia kukamua.
Sasa mjeda nina buyu langu ndani kuna kalinya yangu a.k.a gongo.
Sasa acha dogo aanze kulilia akijua ni maji
Mi nikamnyima mama yake alinikoromea nikaona upumbavu nikamwambia lakini usimalize.
Dogo kafakamia kama mafunda sita hivi akatoa anadao ni vichungu mara baada ya mda dogo kaanza kuanguka na kuinuka mieleka kama mitatu minne akapitiliza na usingizi.

Mama yake kuona vile kaanza kuhamaki
Alivyoniuliza nikamwambia kapiga pombe buyu langu sibebagi maji.

Asee kuja kumwambia mzee wangu nikapigwa mikwara walipotoka akanambia umefanya la maana sana ile familia ni wajinga saana

Nikasema sipendi ujinga
 
Oyaa siom kweli... haa ah ha ha
 
Mim mtoto yeyote hakuna kushika simu yangu
Sasa wadada wengine huwa wanawadekeza watoto wanawapa simu wachezee hadi unakuta imepasuka vioo kisa akina Juniya.

Mimi kuna dada alikuwaga mpenzi wangu zamani sasa bado tunaiva kwa sababu tuliachana kwa njia ya amani kwa maslahi mapana ya pande zote.

Sasa kuna siku aliniambie niende kwake nikale sikukuu, nikamwambia nakuja na nikaenda.
Nilivyofika akanipakulia pilau, mara kajuniya kakaanza kung'anng'ania TECNO yangu kanataka kacheze game.

Nilivyokuwa nakakatalia kakawa kasumbufu sana, hata kula nikawa siwezi. Mama yake akasema we mpe tu anataka kuchezea tu game, nikakapatia tu kwa shingo upande coz hata mwanangu huwa hachezei simu yangu, nimemnunulia vigari ndio achezee. Kalivyoona simu haina game ya kueleweka kakaifanya simu kama gari kanaiburuza chini, nikamcheki mama yake usoni nikaona ana-enjoy tu. Nilivyojaribu kunyang'anya kakaitupa kule! Nilikawasha kibao hicho kalilia kilio hicho! mimi huyoo
 
kuna tabia za mwanangu ambazo ni jukumu langu kuzirekebisha yani mimi kuchapa mtoto ni dak sifuri anajua sitakagi ujingaaa... tabia za kipuuzi nakomesha chap
 

Watoto usipomfundisha mapema atakupanda kichwani ,mim mhuwa sidekez watoto labda awe anaumwa ,mtoto wangu alivyoanza kutembea na kuongea akioga namuonyesha kitanda anaenda kulala akisikia usingizi tu ananyooka kitandani sijui maswal ya nibembe mgongoni ,ila bib yao anawadekeza ndio simu yake huchezewa yangu hawagusii [emoji23][emoji23]
 
Vitoto vya English medium uwa vina sifa vikiona wageni na wanaovipa bichwa ni wazazi wao
 
Dah polee,ila hizi nyumba za watu ni shida sana hasa Kwa Hawa wazazi walimbukeni ambao wakipata Hela basi Wana Lea watoto wao vibaya eti kisa uzungu,m kitu ambacho Nina omba kisitokee na sipendi why ni pale mtu atakapo nipiga Kofi aiseee naweza mtoa macho .. mtu
 

 
Kama n KE anaomtaji anajua namna gan ataishi ndio maana hata wazazi wake hawajajisumbua juu yake

Amekalia uchumi


Kama n ME bas Kuna juma lokole na akina deliciousness mwingne anatengenezwa maana amekalia uchumi wa nyuma 0712
 
Jinga kabisa huyo mzazi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…